Paroles

Hapa, hapa ndipo penye raha Hapa, hapa ndipo penye raha Hapa, ndipo penye raha Hapa, kwa Yesu pana raha Nyumbani wa Mungu kuna raha Hatu pigani vikumbo kuna raha Hatu semani mavumbo kuna raha Hatu pigani vikumbo siye raha tupu Hatu semani mavungo kuna raha Tuna seremuka njamani raha Tuna seremuka ah kuna raha Hapa, hapa ndipo penye raha Hapa, hapa ndipo penye raha Haturishani roho pana raha Hatusemani mafumbo pana raha Hatu pigani vikumbo pana raha Tuna seremuka njamani raha Tuna seremuka njamani raha Yesu njoo utupe raha Baba wewe ndiwe raha Yesu njoo utupe raha Wewe njoo utupe raha Mama, baba njoni kwa Yesu mpate raha Kijana njoo kwa Yesu upate raha Toa mizigo kwa Yesu upate raha Leta magonja yako kwa Yesu upate raha Ntuike yeye fadhaza zako upate raha Ana sema njooni kwangu ninyi muone raha Twendeni kwa Yesu Tupate raha Hapa pana raha Hapa, hapa ndipo penye raha Hapa, hapa ndipo penye raha Haturishani roho pana raha Hatusemani mafumbo pana raha Hatu pigani vikumbo pana raha Tuna seremuka njamani raha Tuna seremuka njamani raha Hapa, hapa ndipo penye raha Hapa, hapa ndipo penye raha Haturishani roho pana raha Hatusemani mafumbo pana raha Hatu pigani vikumbo pana raha Tuna seremuka njamani raha Tuna seremuka njamani raha
Writer(s): Rose Muhando Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out