गाने

Tuna ambaa, ambaa, ambaa na pwani yetu, eh Tuna ambaa, ambaa, ambaa na pwani yetu, eh Fena Yamoto Band twafanya yetu eh Fena Yamoto Band twafanya yetu eh Umenifunza baya na zuri, kipi mi' sijasikiaga? Ukanipaga na ushauri uweze kunisaidiaga Zile teteme, nteteme hutaki kuzisikiaga Nipambane, niweze kukusaidia mama, ayi Yalionikuta, eh (naiona ngoma leo) Oh, mama, eh (naiona ngondoo, mie) Mama dunia sio mbaya, mama (naiona ngoma leo) Oh, binadamu, mama (naiona ngondoo mie) Ah-ah, mtoto, mtoto Mi' kwako bado mtoto Usitishwe na miko Yamenishinda nimekuja kwako Mama, oh mame, eh Mama, oh mame, eh Mwanao nimekua eh, najionea, eh Mama, oh mame, eh Mama, oh mame, eh Yale ya dunia eh, ulioniambia, eh, aah-ah Umenifunza, kuna kovu na ndui Kuna masika na vuli, ndimu sio chungwa Kuna maziwa na tui, mhmm Pia simba na chui Ae, mame, muda mwingine najisaidia Hauchoki kufua, mama Ae, mamee, muda mwingine nakuudhi pia (mama) Haukunichukia, aya mama Kipi nikufanyie? sikioni mie, sikioni mie Kipi nikutendee? Sijaona mama Ah, ninavyokupenda mama eh Anaejua ni Mungu Ninavyokupenda mama Anaejua ni Mungu Ninavyokupenda mwanangu Anaejua ni Mungu Ninavyokupenda mwanangu Akulinde mwanangu Usiku ukifika ulikuwa uki-force mapema mi' nilale Hutaki nikeshe wakati kesho inabidi niende shule Usiku ukifika ulikuwa uki-force mwanao mi' nilale Hutaki nikeshe wakati kesho inabidi niende shule Mama, uligombana na majirani, sababu mimi Kunitetea hata kama kosa nafanya mimi Cha kukulipa mimi sioni, hapa duniani Nakuombea uishi miaka mingi we mommy Nafurahia, najivunia, uwepo wako we' kwenye dunia Nakuombea, miaka mia, uishi nisije potea njia Na nafurahia, najivunia, uwepo wako we' kwenye dunia Nakuombea, miaka mia, uishi nisije potea njia, mama wee Mama adhabu alonipa baba yako Miezi tisa umekaa tumboni mwangu Furaha yangu kukuona machoni mwangu Kila kukicha, kila kukicha n'namuomba Mungu Kila kukicha, kila kukicha akulinde mwanangu Mama eeh Naogopa kupotea, we mama Naogopa kupotea, nisije kukosa radhi Naogopa kupotea, we mama Mama yangu! Oh Naogopa kupotea, we mama Naogopa kupotea nisije kukosa radhi Naogopa kupotea, we mama eh, ah-aa Mama yangu oh Mama nimekosea wapi n'nachotaka nitambue Mama nimekosea wapi n'nachotaka mi' nijue Mama nimekosea wapi n'ninachotaka nitambue Mama nimekosea wapi n'nachotaka mi' nijue Ah-ah, ninavyokupenda mama eh Anaejua ni Mungu Ninavyokupenda mama Anaejua ni Mungu Ninavyokupenda mwanangu Anaejua ni Mungu Ninavyokupenda mwanangu Akulinde mwanangu Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe Aah, raha tumbo kuliona, eh Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe Aah, raha tumbo kuliona, eh Ah, aah Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe Aah, raha tumbo kuliona, eh Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe Aah, raha tumbo kuliona, eh Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe Aah, raha tumbo kuliona, eh Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe Aah, raha tumbo kuliona, eh Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe Aah, raha tumbo kuliona, eh Ah, aah Ah, aah Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe Aah, raha tumbo kuliona, eh Ah, uchungu wa mwana naujua mwenyewe Aah, raha tumbo kuliona, eh Ah, aah
Writer(s): Melanie Chisholm, Emma Lee Bunton, Melanie Janine Brown, Richard Frederick Stannard, Victoria Caroline Beckham, Matt Rowe, Geri Halliwell Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out