गाने

Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu Bwana Mungu wangu weee umenikomboa eee Umeniwezesha mimi Wewe ni mkuu Ukaniita Kwa jina langu eeeee ukaniwezesha bwana eee Nikuabudu bwana nikuimbie Nilipokuwa kwenye dhambi Ukanionyesha mwanga Mwanga Wewe ni mwanga wangu bwana Wewe ni mkuu. Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu Bwana mungu wangu eee Wewe ulimsaidia ayubu Alipokuwa na shida nyingi Bwana ulikuwa naye Neno lako linasema Unazo Fedha eeeeee Zote ni zako bwana Wewe ni muweza Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu Wakati ninazo shida Na magonjwa Bwana unasema Tuliite jina lako Wewe ndiye muweza Wewe ndiye mwenye nguvu Wewe ni kimbiliyo baba Waweza mambo yote. Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu Waweza waweza Waweza mwokozi Waweza mambo yote Wewe mwaminifu Unaweza Unaweza Unaweza Baba unaweza
Writer(s): Evelyn Wanjiru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out