गाने

UTUKUZWE BY NYEGEZI SDA CHOIR. Utukuzwe (ee) Mungu bwana wa bwana, Hatuwezi kulalamika kuhusu ukombozi wetu, Lingekuwa jambo dogo (ila) mwanadamu analoliweza, Usingekuja Yesu kutukomboa. ×2 Wengi wanauzungumzia umuhimu wa kuja kwake Yesu, Aliacha kiti cha enzi aje kunitafuta. Sikuwa na matumaini ulikuwa kama muujiza, ahsante Yesu, kunikomboa. (Naa) Utukuzwe (ee) Mungu bwana wa bwana, Hatuwezi kulalamika kuhusu ukombozi wetu, Lingekuwa jambo dogo (ila) mwanadamu analoliweza, Usingekuja Yesu kutukomboa. ×2 Alipofika hapa duniani, akaanza kuyatenda makuu, Ila wakazi wa duniani hawakumtambua. Wengi wakamchukia sana, amekuja kwa maamlaka gani, kumbe ni mwana wa Mungu, mwokozi wetu. (Naa) Utukuzwe (ee) Mungu bwana wa bwana, Hatuwezi kulalamika kuhusu ukombozi wetu, Lingekuwa jambo dogo (ila) mwanadamu analoliweza, Usingekuja Yesu kutukomboa. ×2 Nini kinachokukatisha tamaa, ikiwepo jina la Yesu, lenye uwezo mkubwa wa kukushindia. Yeye ni Alpha na Omega, asiyetingizwa na chochote, Mwamini Yesu, atakushindia. (Naa) Utukuzwe (Mungu) Mungu bwana wa bwana, (Hatuwezi kamwe) Hatuwezi kulalamika(kuhusu ukombozi) kuhusu ukombozi wetu, (Lingekuwa)Lingekuwa jambo dogo (lina maana) mwanadamu analoliweza, (ahaha) Usingekuja Yesu kutukomboa. ×2 (Lingekuwa) Lingekuwa jambo dogo. (Mwanadamu) Mwanadamu analoliweza. (Singekuja) Usingekuja Yesu kutukomboa.×2 (Lingekuwa) Lingekuwa jambo dogo. (Mwanadamu) Mwanadamu analoliweza. (Usingekuja Yesu) Usingekuja Yesu kutukomboa. Ahaha.
Writer(s): Ulyankulu Choir Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out