गाने

Nazo sifa za Mungu baba zivume Kila mtu aelewe kuna aliye juu Azitandazaye mbingu kama shuka Huziita nyota zote kwa majina Hakuna hata moja huponyoka Kutoka kwake ndiye aliye juu zaidi Ni Mungu mweza yote Yehova
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out