गाने

Kwako tetere nishazubaa Nipe mchele, usinipe chuyaa Uwache pele, tuliza pupa, ooh oooh Usije ukaniua titiri, oooh Oooh nishakupa vyote vyako (ooh lalala) Mautam mamnato (ooh lalala) Niteke (mateka niteke) Niteke (niteke teke niteke) Niteke teke (mateka niteke) Niteke (oooh) Zidisha unyama Nyama kwa nyama Zidisha unyama Nyama kwa nyama Uma fitimbi biti kimumunya pipi Utamu wa kisiginoni Nichikiche nichikichi Na shavu njikitile Unakesha kilindoni Nitwange nipepete Nisage nichekeche Nikande niumuke Kilima nipandishe Kibinda nkoi nkoi (aaee eeh) Kiwinda pori pori (aaee) Naringa dori dori (aaee eeh) Nawe imba chori chori Niteke (mateka niteke) Niteke (niteke teke niteke) Niteke teke (mateka niteke) Niteke (ooooh) Zidisha unyama Nyama kwa nyama Zidisha unyama Nyama kwa nyama Mateka niteke Niteke teke niteke Mateka niteke Ooooh... Nyama kwa nyama
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out