गाने

Rest in peace mama Rest in peace mama Rest in peace mama Ulikuwa na miyo kama Ayala kule porini Ulikuwa jasiri kama Simba nikani Ulikuwa na nguvu kama Simbajike awako mawindoni Lelo ume tutoka mama pumzika kwa amani Nenda mama, nenda ah pumzika kwa amani Nenda Ruakatale mama ulale kwa amani Mama, mama, mama, ma-a-a-a-a-a-a-a Oh nenda mama nenda Mama naenda mama (pumzika kwa amani kwa amani) Nenda Ruakatale (oh mama) pumzika kwa amani Nenda mama nenda pumzika kwa amani Nenda Ruakatale pumzika kwa amani Eti mama na liya yupo wapi mama? Wa imbaji tuna liya tumpate wapi mama? Kanisa wana liya tumpate wapi mama? Pale tulipo toka uli tutiya nguvu Tulipo liya sana ah uli tufardhi Mama tulipo anguka ah wewe ulitu inua Ah tulipo vudjua moyo ah mama ulitu faridhi Tulipo kata tamaa ah uli tutiya moyo Walipo kana awa tujuwi wewe uli tujua sana Tulipo fukuzua na wengine oh uli tukambatiya Nenda Ruakatalee tuta kutana mbinguni Na sema nenda mama nenda pumzika kwa amani Vita ume vipingana, wendo ume umaliza Imani ume ilinda pumzika kwa amani Mama mama mama Mama mama mama Ukimuona Elia mwambiye bado tuna pambana Ukimuona Kulala mweleze bado tume simama Ukimuona Yesu mwenye we Mwamnbniye bado tuna mwamini Mwendo tuna kaza sana, vita tuna piga sana Wewe uli tufundisha, Yesu tusije mkana Nenda mama nenda ah pimzika kwa amani Nenda Ruakatale ah pimzika kwa amani Mama mama mama ma-a-a-a-a (Oh) nenda mama, nenda (mama nenda mama) pumzika kwa amani Nenda Ruakatale (oh mama) pumzika kwa amani (Tuta kukumpuka mama) nenda mama nenda, (nenda) pumzika kwa amani Nenda Ruakatale (ume tutoka mama) pumzika kwa amani Tuli kupenda mama, tuli kupenda mama Tuta kumbuka mama Rest in peace mama (nenda kwa amani) Rest in peace mama (nenda kwa amani mama) Rest in peace mama (lala kwa amani mama) Rest in peace mama (tuta kukumbuka mama) Rest in peace mama (nenda kwa amani mama) Rest in peace mama (lala kwa amani mama) Rest in peace mama (nenda kwa amani) Rest in peace mama (lala kwa amani mama) Rest in peace mama (nenda kwa amani mama) Rest in peace mama (tuta kumbuka mama) Rest in peace mama (mwendo ume umaliza mama) Rest in peace mama (ume ushindi mama) Rest in peace mama (rest in peace mama) Rest in peace mama (rest in peace mama) Rest in peace mama (rest in peace mama) Rest in peace mama (rest in peace mama)
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out