म्यूज़िक वीडियो

क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Composer

गाने

Aaaaahhhh Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako Usikate tamaa na yale unayoyaona Hata kama uko chini sana(uko chini sana) Najua wataambiana wewe ni masikini(masikini) Lakini usichoke ipo siku watasema(watasema) Najua wataambiana wewe hufai(hufai) Na umeshatembea na wanaume wengi(tena wengi) Utakapofika wakati wa kuinuliwa aahhh Utashangaa wakiambiana tena(ambiana tena) Ati yule mwanamama aliekuwa ni kahaba(ni kahaba) Ameolewa sasa ana familia yake(jamani) Utasikia tena yule aliekuwa kikaragosi (kikaragosi) Leo anatembelea gari wataambiana weeeee Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako(tena wasemezane) Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako(siku ikifika) Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako (aaacha) Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako Aaaaahhhh Eeeehhhh Aaaahhh Uuu yeee Aaahhh Eeehh Mamaaa Neno hili limekuwa la kawaida kwako(tena sana) Lakini lina maana kubwa(tena sana) Waweza kuona wanadamu wanatembea kimya kimya Ila wametunza mengi mioyoni mwao Usije kuona wanacheka na wewe hujui moyoni mwao wameweka niiini Unaweza ona wanakusalimia kwa furaha zote ila kumbe wameshaambiana(ambiana) Kwamba yule pale ati ni muathirika wa ukimwi Mara yule pale aahh ni mgumba(ni mgumba) Ati yule pale alifeli kidato cha nne(ana zero) Na yule pale hana ada ya masomo(tena) Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako Ipo siku wataambiana tena Vile mungu atavyokuinua baba lazima wataambiana tena (Vile)acha waambiane (yawe atakavyokuinua juu) wasemezane mabaya yako Lazima mama wataambiana tena utasikia Yule mgumba sasa amezaa(ana katoto keupe) Aliefeli siku hizi ana degree(ana degree) Utasikia mengi na utamtukuza mungu Hivyo usife moyo Acha waambiane(acha waambiane) Acha waambiane, wasemezane mabaya yako Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako Acha waambiane, wasemezane mabaya yako Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako Acha waambiane, wasemezane mabaya yako Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako Yeeeeeeah
Writer(s): Goodluck Gozbert, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out