गाने

Kushoto kulia Kushoto kulia (Jeshi) Kushoto kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga (Konde Boy) Kushoto kulia Kushoto kulia Kushoto kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga KondeBoy for everybody My music dey shake your body, ay 'Cause I do this for my people I wanna hear you sing, ta-la-la-la Kikando kinanigadi Nafasi naongeza idadi Saluti kwa wanangu wa ghetto Segelea okonga gwala gwala Wasonipenda kazi wanayo (Eeh, kazi wanayo) Mie sipigi genga pesa ninayo (Eeh, pesa ninayo) Tunatia chenga wanafuata nyayo (Eeh, wanafuata nyayo) Tunapiga denda wanapiga miayo (Eeh, wanapiga miayo) We kesha kwa waganganga Mwenzako najichanganganga Nazisanya faranganganga, yee! Nikipata natumia maduwoteru Ruksa nipanganga Napendaga vicheni vishanganganga Na uturi wa tanganganga Hakikisha unanukia, oya! Kushoto kulia Kushoto kulia Kushoto kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto kulia Kushoto kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga Samina mina, eeh eeh (Waka waka, eeh-eeh) Samina mina, eeh eeh (Waka waka, eeh-eeh) I say, samina mina, eeh eeh (Waka waka, eeh-eeh) Samina mina, eeh eeh (Waka waka, eeh-eeh) Ay Wanaotaka shindana na mimi Hawapati hata sare Usishangae tattoo na vipini Ni makonde chale Peace kwa walonileta mjini Mondi wa Tandale Maneno majungu tupa chini Muziki utawale (hee!) Kama nyapara kafunguliwa pingu wee Kutwa tunachana mawingu wee Ameshapanga wewe ni nani upangue Unajitesa buree (hee! Aga) We kesha kwa waganganga Mwenzako najichanganganga Nazisanya faranganganga, ay Nikipata natumi, oya! Kushoto kulia Kushoto kulia Kushoto kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto kulia Kushoto kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga Bonga, mwambie cheopa Moto hauzimwi na moto wewe Wakiziba kulia Si tunapita kushoto Je mama jin Usicheze na jembe litakulima (kushoto kulia) 1-1-7 (kushoto kulia) Talk that thing My nigga Jose wa mipango Konde Gang is for everybody, everybody (kushoto kulia) (Kushoto kulia) (Washa tochi ya simu sa tuone mwanga) (The Mix Killer) (Oh, my God, it's Better Sounds)
Writer(s): Rajab Abdul, Rajab Abdul Kahali, Rajabu Abdukahal Ibrahim, Tresor Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out