गाने

Siachani nae eeh eeh eh Siachani nae uuuh (maximizer) Nimezunguka na nimemaliza Nimefika kwako nimekwama Umeniteka na umenituliza Kama maji kwako natuama Unanipa furaha ya dunia Nahisi mapenzi kuchanganywa Na macho nafumba kuwaangalia Wengine tusije kukosana Siiii- sina mwingine Fiii--mbo yangu ni wewe Kibidubidu usije bidua Ukigeuka simba utanirarua Utanipa mawazo kuchanganyikiwa Tamu lako penzi chungu ukaniachia aah Kamoyo kangu nakugawia Moja kwa moja usije nirudishia Hapa duniani mpaka akhera pia Ni wewe tu my darling Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Najiamini hadharani nikisimama nanena Kwa umakini yala mimi hatuigizi sinema Mapenzi ya mitandao me sina Tunapendana toka kwa mtima Niko tayari kwa mabonde na milima Mie mzizi na yeye ndo shina Wapo vibinda popo wasiopenda penda ustaarabu Chunga sana usiwaskilize maneno yao yakawa sababu Kubidubidu usije bidua Ukigeuka simba utanirarua Utanipa mawazo kuchanganyikiwa Tamu lako penzi chungu ukaniachia aah Kamoyo kangu nakugawia Moja kwa moja usije nirudishia Hapa duniani mpaka akhra pia Ni wewe tu my darling Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Siachani nae Hata baadae Jeuri sina mama jeuri kwako wewe Jeuri sina mama jeuri nimeapa kifo nawe Jeuri sina mama jeuri kwako wewe Jeuri sina mama jeuri nimeapa kifo nawe Siachani nae Si leo hata baadae Siachani nae Si leo hata baadae Siachani nae Si leo hata baadae Siachani nae Si leo hata baadae
Writer(s): Bakari Katuti Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out