गाने

Dunia hii imejaa dhiki na vikwazo Jipe moyo katika bwana×1 Dunia hii imejaa chuki na fitina Jipe moyo katika bwana×1 Umesingiziwa jambo ambalo hujalifanya Jipe moyo katika bwana×1 Umefutwa kazi hata bila sababu Jipe moyo katika bwana×1 Jipe moyo Jipe moyo Bwana yesu amekuona×2 Kusoma umesoma lakini huna kaazi Jipe moyo katika bwana Kulima umelima lakini mavuno hakuna Jipe moyo katika bwana Moyo wako umejaa mafikira mengi sana Jipe moyo katika bwana Utakula nini,utavaa nini, utalala waapi Jipe moyo katika bwana Jipe moyo Jipe moyo Bwana yesu amekuona×2 Umekaribia harusi, mchumba wako amegeuka eeh Jipe moyo katika bwana Miezi tisa sasa mume wako hayuko nyumbani Jipe moyo katika bwana Jipe moyo maana mkombozi wako bado yuhai Jipe moyo katika bwana Usife moyo ndugu Usife moyo dada Jipe moyo katika bwana Hujapata mtoto kwa miaka mingi sana Jipe moyo katika bwana Hata biashara zako zote zimefilisolisika Jipe moyo katika bwana Jipe moyo Jipe moyo Bwana yesu amekuonaaa×3
Writer(s): Emmanuel Emachichi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out