गाने

Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu Enyi mataifa msifuni bwana Enyi watu wote muhidini bwana Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu Mwimbieni bwana wimbo mpya maana ametenda mambo ya ajabu Mshukuru bwana kwakua ni mwema Maana fadhili zake ni za milele
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out