गाने

Mimi nataka ushirika nawe ee. . Ewe roho Mimi nataka ushirika nawe ee . ...Roho (repeat) Nimekubali habari hizi, Ya kuwa wewe ni Mungu roho, Roho nataka ushirika nawe Ulikuwepo tokea mwanzo, Ulishiriki kuniumba Nataka ushirika nawe Nakuhitaji maishani Unihifadhi moyo wangu Roho ee roho wee Nataka ushirika nawe Wayachukua maombi Watuombea kwa kuugua roho, Roho nataka ushirika nawe Ukiwa nasi twatiwa, Nguvu twatenda kazi kwa ujasiri roho, Ee roho Nataka ushirika nawe Uyatawale maisha yangu Sitaogopa nikiwa nawe eee roho Wewe Mungu uliye hai, Tena roho wa kweli wewe kiongozi, Nataka ushirika nawe Wewe Mungu ndiye hai tena roho wa Kweli wewe kiongozi nataka ushirika nawe Wewe mafuta ya shangwe Tene harabuni yetu Roho wa milele, Nataka ushirika nawe Wewe roho msaidizi Tena mshauri wetu Wewe kidole cha Mungu Nataka ushirika nawe eeh ... (Chorus)
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out