म्यूज़िक वीडियो

में प्रस्तुत

क्रेडिट्स

COMPOSITION & LYRICS
Eugene Omondi Oyoo
Eugene Omondi Oyoo
Songwriter
Mark Mungai
Mark Mungai
Songwriter

गाने

Bogi Benda Angry panda Under Mickey Decimators Niko ma steam nikaa jo nimekasunda Kangoko kakikam mateke jo ni za punda Alafu kamebeba vile me huwaga napenda Ni bogi benda ni bogi benda Niko ma steam nikaa jo nimekasunda Kangoko kakikam mateke jo ni za punda Alafu kamebeba vile me huwaga napenda Ni bogi benda ni bogi benda Bon eye Suti ni Kaunda Mbosho na mabunda Zabe za kibanda Mastingo za kibuda Bogi bogi ni bogibenda Ni bogi benda kasha surrender Na kamebeba vile me huwaga napenda Na me nikikateka kejani tutaenda Ati kametoka KU lazima kata KO Mutura inafanya kachelewe Ju ni must aichill kachomewe Kanoru kameme Ka darkskin parlour makucha ni za panther Swirry nikashawa Si kachura ni kabata kanazitoka Kama rhumba sakata kanaziokota Si mkamba lakini ananibamba Akidai kunitoka ntakafunga na kamba Niko ma steam nikaa jo nimekasunda Kangoko kakikam mateke jo ni za punda Alafu kamebeba vile me huwaga napenda Ni bogi benda ni bogi benda Niko ma steam nikaa jo nimekasunda Kangoko kakikam mateke jo ni za punda Alafu kamebeba vile me huwaga napenda Ni bogi benda ni bogi benda Chezesha mpaka dombolo Hizo biggy mawololo ndo napenda Cheki Angolo utadhani bogi benda Naongeza token nakawasha kama tester Snapchat mafilter kuteka Hakuna mbrr vako dunda amekabeba Bitch bad manners anataka nichafue meza Ameleta kiongozi kucheza Me hukua mavitu kila siku za calendar Utapata najituma na hakuna mahali naenda kwangu mapenzi biz Na magoshodo ni tender Nakapiga walenje kwa jegi kananipenda Ukinipata nko Kakitu lazima jo ntakuwasha Nataka uniite Chibu ju kwangu we ndo Tanasha Wengi husema ni juju vile jo me huroga Napenda ukiwa juu napenda jo ukinigonya Niko ma steam nikaa jo nimekasunda Kangoko kakikam mateke jo ni za punda Alafu kamebeba vile me huwaga napenda Ni bogi benda ni bogi benda Niko ma steam nikaa jo nimekasunda Kangoko kakikam mateke jo ni za punda Alafu kamebeba vile me huwaga napenda Ni bogi benda ni bogi benda Hapa ni shigidi shigidi utatii Kangoko kaki digidi digidi nampin Alafu nika wikidi kauniita Daddy Ex wangu swezi diss ntamkiss animiss Hapa ni shigidi shigidi utatii Kangoko kaki digidi digidi nampin Alafu nika wikidi kauniita Daddy Ex wangu swezi diss ntamkiss animiss Chu chuu Niko ma steam nikaa jo nimekasunda Kangoko kakikam mateke jo ni za punda Alafu kamebeba vile me huwaga napenda Ni bogi benda ni bogi benda Niko ma steam nikaa jo nimekasunda Kangoko kakikam mateke jo ni za punda Alafu kamebeba vile me huwaga napenda Ni bogi benda ni bogi benda
Writer(s): Eugene Oyoo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out