म्यूज़िक वीडियो

म्यूज़िक वीडियो

क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Zuchu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

गाने

[Verse 1]
Roho ingekua na macho ungejionea
Moyo haufanyi kificho ukigotea
Mimi kipi nisonacho ungeongea
Mwili wangu rochorocho nanyong'onyea
Chungu nilichopika wamepakua wenzangu
Huruma napukutishwa wamechukua tonge langu
Na kitabu chetu cha mapenzi kurasa umeichanachana
Hazisomeki tena tenzi zimepoteza maana
Mpofu moyo wangu ulishindwa ona
Hukuandikwa wakwangu limenikaba nalitema
[Chorus]
Kwaru kwakwaru kwaru (Kachukua kizuri aliyokwarua)
Kwaru kwakwaru kwaru (Moyo wangu unaumia)
Kwaru kwakwaru kwaru (Ah! ye kwa nguvu ana ukwarua)
Kwaru kwakwaru kwaru (Jamani moyo wangu unaumia)
[Verse 2]
Langu tatizo nachunda najimaliza
Mi nakesha kumuwaza naweweseka lake jinx, ohh jina
Oh! basi kwa unyonge najikaza niache kulia
Mana kwake bahati sina, ohh sina
Maumivu ameipora furaha yangu
Ooh amekwenda nayo
Na zangu mbivu zimeniozea
Mmh hasara kwangu
Ohh! yatapita nayoo
[Verse 3]
Mpofu moyo wangu
Ulishindwa ona
Hukuandikwa wakwangu limenikaba nalitema
[Chorus]
Kwaru kwakwaru kwaru (Kachukua kizuri aliyokwarua)
Kwaru kwakwaru kwaru (Moyo wangu unaumia)
Kwaru kwakwaru kwaru (Ah! ye kwa nguvu ana ukwarua)
Kwaru kwakwaru kwaru (Jamani moyo wangu unaumia)
Written by: Siraju Amani, Zuchu, Zuhura Soud
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...