म्यूज़िक वीडियो

म्यूज़िक वीडियो

क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

गाने

[Intro]
Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vannyboy yupo na mtoto wa Tandale
[Chorus]
Amaboko (Eeh amaboko), iih
Amagulu (Eeh amagulu), kiruu!
Amaboko (Eeh amaboko), iih
Amagulu (Eeh amagulu)
Aah gbesee!
[Chorus]
Toto litoto to
Tooto litoto to
Tooto litoto to
Tooto litoto
[Verse 1]
Watoto wa bibi
Wanacheza kote mpaka kwenye matope
Wanavua wigi
Kama wamegombana na Ebitoke!
[PreChorus]
Fanya kama unadukua (Twende sasa!)
Unanengua (Twende sasa!)
Unapika na pakua (Twende sasa!)
Aiii chukua (Twende sasa!)
Nasema popoo popo (Tunakesha popo!)
Leta chupa kwa chupa na moshi tulewe (Tunakesha popo!)
Nasema popoo popooh (Tunakesha popo!)
Shika pesa tusepe silali mwenyewe (Tunakesha popo!)
[PreChorus]
Anasasambua (Kalewa!)
Anakibinua (Kalewa-lewa!)
Anajichetua (Kalewa!)
Aiyayayayayaaa (Kalewa-lewa!)
[Chorus]
Amaboko (Eeh amaboko), iih
Amagulu (Eeh amagulu), kiruu!
Amaboko (Eeh amaboko), iih
Amagulu (Eeh amagulu)
Aah gbesee!
[Chorus]
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto!
Asa baby show
[Bridge]
Shoow onyesha alichokupa mama
Babe ko (Komesha sijali lawama)
[Verse 2]
Kana sipidi-didi (Dii!)
Mwendo 4G jijii (Jii!)
Katoto gwijigwiji (Jii!)
Kwenye kujigijigi (Jii!)
[Verse 3]
Ah! venye nyomi (Kijiji)
Manyoni (Itigigii)
Twende mpaka morning (Ikibidii)
Nizame shimoni (Kimbijii)
Eeh katoto kana papara (Paraa!)
Kupigwa nyembe kipara (Para!)
Namvuta kama sigara (Raa raraa!)
[PreChorus]
Nasema popo popoo (Tunakesha popo!)
Tembeza cha ukucha na Monde tulewe (Tunakesha popoo!)
Wanangu popoo popo (Tunakesha popoo!)
Kama akigoma vuta usilale mwenyewe (Tunakesha popoo!)
[PreChorus]
Ayaya yayaa (Kimempandaa!)
Ooh kidaruso (Kimempandaa!)
Kaisha leo (Kimempandaa!)
Namsomba kama fuso (Kimempandaa!)
Umo umoo!!
[Chorus]
Amaboko (Eeh amaboko), iih
Amagulu (Eeh amagulu), kiruu!
Amaboko (Eeh amaboko), iih
Amagulu (Eeh amagulu)
Aah gbesee!
[Chorus]
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto!
[Bridge]
Mwaga maji tucheze kama kambale
Leo ni Vannyboy yupo na mtoto wa Tandale
Mwaga maji tucheze kama kambale (Umo umoo!)
Leo ni Vannyboy yupo na mtoto wa Tandale
[Outro]
Sa chezesha kileso! (Kileso!)
Kileso-kileso (Kileso!)
Zungusha kileso (Kileso!)
Eeh kileso-kileso (Kileso!)
Kama unakibana kwa kwapa (Kileso!)
Kilete kwa hapa (Kileso!)
Kama unarusha unadaka (Kileso!)
Mmh swadakta (Kileso)
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...