गाने

Star star star (Chibii) star star star Si wanapenda kubang Unaniletea ustar Mi mwenyewe star Mama yangu star Baba yangu star Hiyo bebe yangu Ex wangu star DJ wangu star Mpaka bodyguard star So usituletee ustar (star) Hatushobokei ustar (star) Wanangu mastar mpaka snitch wangu star (star) We unaniletea ustar (star) Jirani yangu star (star) Mwenye nyumba wangu star (star) Mpaka bodaboda star Kamaanisha nini Hainaga show show (hainaga shobo wanangu) Hainaga kutubutubu (hainaga shobo wanangu) Masponsa si wanazo doo (hainaga shobo wanangu) Nguvu za kiume tunazo sisi (hainaga shobo Yeah hainaga show show (hainaga shobo wanangu) Hainaga kujishaua (hainaga shobo wanangu) Dada akipita na bwana ako (hainaga shobo wanangu) Nawe pita na baba yake (hainaga shobo wanangu) Mara ooh Madem wa sinza tabata na UTI (nyoo) Madem wa chuga kiuno kigumu (nyoo) Madem wembamba wanaomba vocha Madem wafupi eti wabishi (nyoo) Nyooo So usituletee ustar (star) Hatushobokei ustar (star) Wanangu mastar mpaka snitch wangu star (star) We unaniletea ustar (star) Jirani yangu star (star) Mwenye nyumba wangu star (star) Mpaka bodaboda star Oyaa Hainaga show show (hainaga shobo wanangu) Hainaga kujishaua (hainaga shobo wanangu) Wewe ukimpa macho matatu (hainaga shobo wanangu) Sisi anatupa jicho moja (hainaga shobo wanangu) Kumaanisha nini Hainaga show show (hainaga shobo wanangu) Hainaga kutilitili (hainaga shobo wanangu) Wewe ukimlewesha (hainaga shobo wanangu) Sie kwa bedi tunamkeshesha (hainaga shobo wanangu) Unataka gari na hauna salio (nyoo) Bwana mdogo si unajigambio (nyoo) Piga kelele nyingi kama una kalio Na kama una kalio tingisha hilo fagio (nyoo) Nyoo So usituletee ustar (star) Hatushobokei ustar (star) Wanangu mastar mpaka snitch wangu star (star) We unaniletea ustar (star) Jirani yangu star (star) Mwenye nyumba wangu star (star) Mpaka bodaboda star (kumaanisha nini) Hainaga shobo wanangu (star) Hainaga shobo wanangu (star) Hainaga shobo wanangu (kumaanisha nini) Hainaga shobo wanangu
Writer(s): Romain Ronaldo Waldo, Achibe Henry Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out