गाने

Hii track inaenda kwa wadhee wote wa mathree Dere wa mathree konda wa mathree pia kama unapanda mathree necessary noize Woi Woi Woi na Kenyan boy make me heart skip a bit like Woi Me a original Kenyan boy Yeah Wyre the love child Nazizi, the first Lady We make it hot You know, you know, we make it hot Kenyan girl would you come take a walk with me Nataka chali wa Nairobi Kenyan boy would you come take a walk with me Oooah Nataka manzi wa Nairobi Kenyan girl would you come take a walk with me Nataka chali wa Nairobi Kenyan boy would you come take a walk with me Oooah tunataka manzi wa Nairobi Nilikutana na yeye nikipanda 23 Kwenye bus stop akinicheki secretly Jamaa was so fly yo karibu mi nibleki Akapanda mathree karibu nami kaketi. Immediately sikungoja sikusleki Nikajidai excuse me unafegi Got his attention sasa poa mambo deadly Niaje chali vipi unaitwa nani? Mi naitwa Nazareth na buru ndio mataani Where are you going to Unashuka upande gani? And if you don't mind twende roundi mataani I like the way you smell hiyo ni Cologne gani? Umenibaba style nyingine deadly yani Unapenda reggae nina collection nyumbani Tumefika kuja piga left hapa njiani Have some of that tuongee mambo flani (mambo flani). Like the way she is
Writer(s): Nazizi Hirji Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out