म्यूज़िक वीडियो
म्यूज़िक वीडियो
क्रेडिट्स
PERFORMING ARTISTS
Tunda Man
Performer
COMPOSITION & LYRICS
KHALIDI RAMADHANI TUNDA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Seleman Ayub
Producer
गाने
[Verse 1]
Nimetoka jera sahivi nipo uraiani
Sina kitu mwanao kabwela, tupige mishe zetu za zamani
Yani muda huu ni zamu ya mama
Maisha ya konakona hakuna
Sasa hivi si mzee si kijana
Mtaani kote vimekaza vyuma
[Verse 2]
Yani nitafanya nini elimu ya kuunga unga?
Nibora kuuza maharage kuliko kuuza unga
Kazi iendelee mwanangu spark chunga
Baba hajafa usije kuuza nyumba
[Verse 3]
Twende kwa chief kiumbe tukachukue (Nini)
Milioni twende tukatanue
Mwana uko bora usijisumbue
Chief anamdai sheta laki nusu amuuwe
[Chorus]
Aha mama wewe mama wee (Mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (Ndio hali ya dunia)
Mama wewe mama wee (Mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (Ndio hali ya dunia)
[Chorus]
Mama wewe mama wee (Mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (Ndio hali ya dunia)
Mama wewe mama wee (Mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (Ndio hali ya dunia)
[Verse 4]
Mi nnajua una njaa we mwanangu twende twende
We mwanangu twende
Ok twende tiptop si tunapokaa
Tukamuone bonge tusije kufa na njaa
[Bridge]
Ayiiyiiyii (Mbona unalia)
Ayiiiyiiyii (Tunda usilie)
Ayiiiyiiiii (achakulia)
Mwanangu unalia
[Verse 5]
Sijui niseme nini yaniii ihihihihi
Bonge hayupo tena duniani
Kaondoka na tiptop yake
[Verse 6]
Tunda acha utani ntakua mgeni wa nani
Kama hayupo Duniani bora nirudi tu ndani
Aha usimkufuru Mungu
Twende tukapambane na mziki wa majungu
[Verse 7]
Siku hizi mziki umebadilila
Madj wanatajilika
Bila mkwanja hauwezi kufika
Giggy katoa papa mjink kafika
[Verse 8]
Basi unipeleke kwa Ruge mutahaba
Jasiri muongoza njia maana mziki unakaba
[Bridge]
Hallelujah tutaonana
Hallelujah tutaonana
Tutatonana na yeye mbinguni kwababa
Halleluyah tutaonana
[Chorus]
Aha mama wewe mama wee (Mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (Ndio hali ya dunia)
Mama wewe mama wee (Mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (Ndio hali ya dunia)
[Chorus]
Mama wewe mama wee (Mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (Ndio hali ya dunia)
Mama wewe mama wee (Mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (Ndio hali ya dunia)
[Verse 9]
Kwanza kabisa karibu uraiani
Kuhusu t-shirt na jean's usihofu twende dukani
Ilaa kuhusu mziki dah ni mtihani
Mambo yamebadika sana sio kama zamani
[Verse 10]
Mziki umekua vita na umeshafuli ramani
Baba baba na uko mtandaoni
Ili utrend inabidi upay perview
Na ukihit kama sio rafiki yao hawakupi tour
[Verse 11]
Na wanao pata tour wengi nao washafua
Nakuchana usije sema sikujua
Vipato vimeduma ila majina yamekua
Kwakifupi yani mvua inanyesha kwenye jua
[Verse 12]
Unataka kufanya kwanza mziki unaela
Maana mapedeshee wote umetoka umewaacha jera
Huu ndio ukweli, japo najua inakera
Bora ufanye hata siasa labda utakua Mandera
Written by: KHALIDI RAMADHANI TUNDA


