गाने

Ai yooo Ooh yeah Ooh yeah wewe Wewe Baby pole pole, Usije nitesa Nafsi Kuku nipe mchele, mahindi ngedele Usije niacha basi Mmmh, mpaka majogoo, Kitandani ni mafunzo ya ki Commando Nipe mama nipe nyumba na choo Hongera umevua pekee bila chambo Wanapata taabu wanavyoona tunapendana tunawapa adhabu Mpaka maji wanaikama mama Ma Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo) Nyang'anyang'a beiby ooh Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo) Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo) Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo) Nyang'anyang'a beiby ooh Sijateleza nyang'anyang'a (aah) Mi kwako nyang'anyang'a Sasambu sasambua Ukimaliza kupika kazi yangu kupakua Ukimaliza kufua kazi yangu kukamua Ukitaka muwa, naumenya nakugea unakula Oooh, uchungu wangu unaujua wewe Uchungu wako naujuwaga mimi mwenyewe Pilika pilika za kuku na mwewe Adui ndo inazo walazi wasitusumbue Wanapata taabu wanavyoona tunapendana tunawapa adhabu Mpaka maji wanaikama mama Ma Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo) Nyang'anyang'a beiby ooh Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo) Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo) Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo) Nyang'anyang'a beiby ooh Sijateleza nyang'anyang'a (aah) Mi kwako nyang'anyang'a Nakupa yote, Chukua Chukua Chukua Yote Yako , Chukua Chukua Chukua Peke Yako, Chukua Chukua Chukua Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo) Nyang'anyang'a beiby ooh Sijateleza nyang'anyang'a (wouwo) Mi kwako nyang'anyang'a (mpenzi njoo) Umeniweza nyang'anyang'a (aiyo) Nyang'anyang'a beiby ooh Sijateleza nyang'anyang'a (aah) Mi kwako nyang'anyang'a
Writer(s): Donald Rwebangira Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out