म्यूज़िक वीडियो

में प्रस्तुत

क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Mac Voice
Mac Voice
Performer
Sound Boy
Sound Boy
Performer
Hamis Shaban Makaranga
Hamis Shaban Makaranga
Performer
SALMIN ISMAIL HOZA
SALMIN ISMAIL HOZA
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamis Shaban Makaranga
Hamis Shaban Makaranga
Songwriter
SALMIN ISMAIL HOZA
SALMIN ISMAIL HOZA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sound Boy
Sound Boy
Producer

गाने

Next Level Music Tuturu-tututuru Tuturu-tututuru Tuturu-tututuruuu (Sound boy) Napenda ivyo vidimple ohh Na zuri lako tabasamu Kwanza uko simple ohhh Kuwa nawe siishi hamu Yametimia maandiko baby Penzi letu sio haramu Navimba nimepata jikooo Mwenzenu nalishwa vitamu Unapendeza ukilala Nzuri yako color Sifa kwa mama alo kuzaa Mungu anahumba eeh Nawe umeumbika aaah Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe Unanifariji mama, nikiwa nauzuni Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah) Tena unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote baby Sikuachi Acha iwaume roho Sikuachi Acha iwaume roho (acha iwaume roho) Hmm mm Kwanza naanzaje? Kukuacha wewe baby naanzaje? Nambie, naanzaje? Kuwa mbali nawe baby naanzaje? Wewe ni tabibu n'kiwa nawe napona Sipepesi macho naona Baby baby naona Nakesha ka' popo kisa kulilinda penzi langu Na, ulipo nipo labda wachukue roho yangu Najua watanuna (hmmm) na hili litawachoma (hmm) Ila bado watatuona, honey honey honeyyyy weee Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe Unanifariji mama, nikiwa nauzuni we Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah) Njoo unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote honey we Sikuachi (no siondoki kwako mmh) Acha iwaume roho (baby mimi chizi wako nah nah) Sikuachi (baby sikuachi mazima) Acha iwaume roho (yiih mmmm)
Writer(s): Shabani Hamis Makaranga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out