गाने

Napiga mikasi kama ronaldinho Maisha ni safi nalishwa vinono nono malikia ahsante Oohh Nipatie nijirambe Woa Woa Woa Special my wife I give to you when you what I don't know i don't know what to say please don't run away Kwenye baridi chumbani Tukeshe mazima mti wa mapenzi mi mzizi wee shina Wooh uwo uwoo oo sweet mangi niwewee Zakichwa tunawapiga za kichwa Zakichwa tunawapiga za kichwa Zakichwa tunawapiga za kichwa Tunasema nao wakienda wakirudi Zakichwa tunawapiga za kichwa Asalamaaleko waleko msaalamu Kwajina la yesu nakupa salamu Umeni kill kill fundi show me Njoo nikupe miuno ya kimakonde Nimefunzwa kupenda sipigi konde Tufanye siri mimi nawewe Yandani tusiwape siri mwewe Yani kama pilipili kwenye mboga Changanya namadawa yakuoga Penzi niwawili sio mmoja Huba vita ya makoopa Zakichwa tunawapiga za kichwa Zakichwa tunawapiga za kichwa Zakichwa tunawapiga za kichwa Tunasema nao wakienda wakirudi Zakichwa tunawapiga za kichwa Asalamaaleko Kwajina la yesu Pompo watu washapost mapicha Bado wakapigwa zakichwa Pompo watu washapost mapicha Bado wakapigwa zakichwa Pompo watu washapost mapicha Bado wakapigwa za kichwa
Writer(s): Mr Kesho, Thomas Maxmillion Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out