ऐप पाएं
कंसर्ट
चार्टस्
Radio Spins
Fast Forward '26
कनेक्ट करें
Shazam को डाउनलोड करें
ऐप पाएं
कंसर्ट
चार्टस्
Radio Spins
Fast Forward '26
सहायता
Mbosso
Pole (feat. Ruby)
33,155
Afro-Pop
Pole (feat. Ruby) 28 अक्टूबर 2022 को Warner Music Africa द्वारा एल्बम
Khan - EP
के एक भाग के रूप में रिलीज़ किया गया था
लोकप्रिय सेगमेंट
गीत का विवरण
सबसे लोकप्रिय
पिछले 7 दिन
00:15 - 00:20
Pole (feat. Ruby) को सबसे अधिक लगभग 15 सेकंड के आसपास इस गाने को पिछले सप्ताह के दौरान खोजा गया था
00:00
00:15
00:55
01:15
01:35
01:50
02:05
03:25
00:00
03:46
ओवरव्यू
गाने
क्रेडिट्स
PERFORMING ARTISTS
Ruby
Vocals
Mbosso
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ruby
Songwriter
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Nusder Venom
Producer
गाने
[Verse 1]
Ooh sweety, sweety, sweety nisikilize
Sweety, sweety niseme nimalize
Mungu ametukanisha sweet yeeye
Ana maana yake
Mungu katuunganisha sweet wewe
Kwa neema zake eh
I told my mama I want to marry
Nitakuja kwenu nitoe mahali
Mi na we tuanze safari
Ya mbali kina aah
Mbaazi na choroko utofauti utaujua
Jungu kuu wake ukoko yanini kuukwangua
Mie ndama kwako motto
Usije kunikafua
Penzi tulipashe moto
Wakigusa waungua
[PreChorus]
Mithiri ya watoto mapacha tunavyopendana
Mambo ya uzungu na usasa tunayopeana
Penzi twalivujisha pakacha tunavujiana
Wale wenye uchu wa paka hili penzi lawakwama
Baby nasikia twawaumiza
[Chorus]
Pole tunawapa pole
Penzi lawakereketa
Pole tunawapa pole
Ooh hasidi watu wabaya
Pole tunawapa pole
Wameza panadol pengine watapoa
Pole tunawapa pole
[Verse 2]
Eeh
Eeh eeh eeh eeh
Ooh baba ba baba
[Verse 3]
Sweety, sweety, sweety nisikilize
Sweety, ai sweety, nami nikujuze
Eeh shubiri shubiri
Chungu honey
Nashindwa kuficha siri
Yetu ya chumbani
We baba unakidhiri mahabani
Akili yangu na mwili taabani
Eeh
Penzi upepo la pepea (Pepea)
Honey twende mbali (Pepea)
Kuni nitazichochea (Chochea)
Baby uje kupara wali eh
[PreChorus]
Mithiri ya watoto mapacha tunavyopendana
Mambo ya uzungu na usasa tunayopeana
Penzi twalivujisha pakacha tunavujiana
Wale wenye uchu wa paka hili penzi lawakwama
Baby nasikia twawaumiza
[Chorus]
Pole tunawapa pole
Penzi lawakereketa
Pole tunawapa pole
Ooh hasidi watu wabaya
Pole tunawapa pole
Wameza panadol pengine watapoa
Pole tunawapa pole
Written by:
Mbosso,
Ruby
Shazam फ़ुटर
हमें फ़ॉलो करें
© कॉपीराइट 2026 Apple Inc. और उसके सहयोगी
|
आपूर्तिकर्ता की जिम्मेदारी
instagram
Share
Path
ic_arrow_out
Google
copy
Loading...
Apple Music में खोलें
में प्रस्तुत
ALBUM
Khan - EP
Mbosso
PLAYLIST
Mbosso Essentials
Apple Music African
PLAYLIST
Top Songs of 2023: Tanzania
Apple Music
PLAYLIST
Top Songs of 2023: Kenya
Apple Music
PLAYLIST
Alikiba: Bongo Flava Origins
Apple Music African
PLAYLIST
Mbosso: Chop Life
Apple Music African
Mbosso के शीर्ष गीत
Pawa
Mbosso
Ozalima
Mbosso
Leo (feat. Mbosso)
Harmonize
Bhuju (feat. Mbosso)
Alikiba
Darasa La Saba
Mbosso
Hodari
Mbosso
Maajab
Mbosso
Tunapendana (feat. Mbosso)
D Voice
Nadekezwa
Mbosso
Nipepee
Mbosso
इसी प्रकार के गाने
Esperanza
Hilight Tribe
МАМА, ВЫЗЫВАЙ ТАКСИ
MemDonalds, Сигма Бой & КАПИБАРА
The Devil Named Music
Chris Stapleton
KLUBY (PUMPSOUND Remix)
PUMPSOUND & Pablo
Not Afraid
Red Village & mikeeysmind
Aum Primordial Chant
Carlos Carty
Глаза-убийцы
MAX BARSKIH
Muhle
Aymos
Gainde
Omar Pene & Super Diamono
Even Though
Inhaler
Suicidal at Christmas?
Speedy Justice
Pako Life (feat. Midas Empire & Lyra Flame)
Galezard Project
Alive
Marcus Strickland's Twi-Life
Lose the Plot
DJ Dove, Chriz Samz & Dat MC
A Love like This
Campagna