गाने

We ndo kitumbua we ndo sambusa Basi njoo unichumu baby, ndio tuseme umesusa? We ndio mwisho wa reli, kwako nimeweka nukta Walokuambia nala zuchu, sio kweli wanazusha Wanaokaa vikao sisi kutujaji Wape pole yao wanatwanga maji Na waongeze bidii kwenye urogaji Tuko Ten GB penzi full charge Fanya wainama, wainuka Kiguu kinyanyue kama unatupa Yani wainama, wainuka Kiguu kinyanyue kisha weka nukta Mi kuachana na wewe aku chitaki chitaki Chitaki chitaki chitaki chitaki mi Kuachana na wewe chitaki chitaki Chitaki chitaki chitaki chitaki mi Mchana nikupe tango, usiku ndizi swadakta Tuanze fanya mambo, kabla umeme hawajakata Mapenzi mwenzie kiwango, na umejaaliwa talanta Na unanijua kwa jambo, hatoki mtu kwa mkapa, ee aah! Amuli chichichi amuli chachachacha Kamoyo tititi nimeozaje sasa Amuli chichichi amuli chachachacha Kamoyo tititi nakuachaje sasa Wanaokaa vikao sisi kutujaji Wape pole yao wanatwanga maji Na waongeze bidii kwenye urogaji Tuko ten GB penzi full charge Basi fanya, fanya wainama wainuka Kiguu kinyanyue kama unatupa Yani wainama, wainuka Kiguu kinyanyue kisha weka nukta Mi kuachana na wewe aku chitaki chitaki Chitaki chitaki chitaki chitaki mi Kuachana na wewe chitaki chitaki Chitaki chitaki chitaki chitaki mi
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Salmin Kasimu Maengo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out