म्यूज़िक वीडियो

Anjella ft Harmonize - Kama (Official Music Video)
{artistName} द्वारा {trackName} संगीत वीडियो देखें

क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Anjella
Anjella
Performer
Harmonize
Harmonize
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Anjelina George
Anjelina George
Songwriter

गाने

Ahahaha Jeshi Sounds by Abbah (Konde Boy) Kwanza namuomba Mungu iwe kweli Nipate wa kunipenda anirithie kwa moyo Niepushe na matapeli, wale wa kula na kwenda Mi nimeumbwa na choyo Arithike na changu kidogo cha ngama Asiwafuate madanga Mmmh shida zake ziwe zangu hadi kesho kiama Tupate na vifaranga Seti fire, mume jando jando Kiuno kiwe mgando mgando Akimimina aijaze ndoo Nimng'ang'anie Mchungaji mi kondoo kondoo Vita yangu komando mando Michepuko iweke kando Wasiniiibie Kama niki, kama nikimpata Kama nikimpata, kama nikimpata Nitampeleka kwa mama (Yaani kwa mama konde) Kama nikimpata Kama nikimpata Kama nikimpata Nitampeleka kwa mama Uzuri wa mke ni tabia, sura shepu vinachangia Msafi kutakata kifuani pawe dodo Tena awe anatulia, yaani asiwe kiruka njia Anipe nachotaka, kitandani kwenye godoro Tena naahidi, nyumbani nitarudi mapema Bahati mbaya nikichelewa nitasema sorry Naye aniahidi atakuaga chanda chema Namaanisha sikuwagongewa wana wasinichore Insta kufollow warembo kawaida Itabidi azoee eh eh Sio maswali ka niko nida Sipendagi mayowe Kondomu akikuta mfukoni asiulize za kazi gani Simu nikapokee chooni asiulize baby ni nani? Eti mbona umeganda online unachat na nani? Hata za mwizi arobaini akinifuma aone tu utani Kama niki, kama nikimpata Kama nikimpata, kama nikimpata Nitampeleka kwa mama (yaani kwa mama konde) Kama nikimpata Kama nikimpata Kama nikimpata Nitampeleka kwa mama Haijalishi mwembamba mwenene (nampenda mpenda) Nachotaka pochi liwe nene (nampenda mpenda) Mi napendaga wenye mapene (nampenda mpenda) Nani nampenda? Ajue kunidekeza (nampenda mpenda) Makavu mwana apalegeza (nampenda mpenda) Vurugu za kifimbo cheza (nampenda mpenda) Aah nitampenda Kitandani asiwe boko (nampenda mpenda) Anifikishe kwa mgogo (nampenda mpenda) Utamu mpaka kwa kisogo (nampenda mpenda) Nani nampenda? Shida zake ziwe zangu (nampenda mpenda) Arithie na hali yangu (nampenda mpenda) Awapende ndugu zangu (nampenda mpenda) Aah nitampenda Anjella, Konde Music Worldwide Lalalila lala (The Mi Killer) Abbah
Writer(s): Daniel Shekwoyemi, Chibuzo Azubuike, Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out