क्रेडिट्स
PERFORMING ARTISTS
Nay Wa Mitego
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nay Wa Mitego
Composer
गाने
[PreChorus]
Leo ni sherehe sherehe
Naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
Natusheherekee
Naacha pombe, nalewa mala ya mwisho sitaki pombe
[Chorus]
Leo ni sherehe sherehe
Naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
Natusheherekee
Naacha pombe, nalewa mala ya mwisho sitaki pombe
[Verse 1]
Jamani pombe pombe
Hivi hiletwa na nani hee
Yaani tam tam mpaka kisogoni hee
Alokunywa pombe moja kwa moja peponi
Aende peponi, aende peponi
[Verse 2]
Kwanza nikishalewa inanikata aibu (Aibu)
Alafu inanipaga vibe (Vibe)
Hakuna swali linakosa jibu
Ule ugonjwa wa kingereza bhana pombe inatibu
[Verse 3]
Leo kamkesho, kamnyweso
Mbona nasweti sana jamani nipe kaleso
Kama unanidai naomba tuonane kesho
Hela nayotumia leo ni yamarejesho
[Refrain]
Tukishalewa si walevi tunapendana
Hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
Tukishalewa si walevi tunapendana
Hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
[PreChorus]
Leo ni sherehe sherehe
Naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
Natusheherekee
Naacha pombe, nalewa mara ya mwisho sitaki pombe
[Chorus]
Leo ni sherehe sherehe
Naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
Natusheherekee
Naacha pombe, nalewa mara ya mwisho sitaki pombe
[Verse 4]
Leo nakunywa mala ya mwisho kesho ninahokoka
Tatizo nikilewa huwa naropoka
Nakama nasiri zako jua ushaumbuka
Nakua mwongo mwongo
[Verse 5]
Pombe inanifirisi, pombe na ibirisi
Naapa nakuacha leo ila kesho tunakumis
Nikishalewa nakuaga mzee wa fix
Na ahidi hajira wakati sina hata ofisi
[Refrain]
Hoo leo kulewa leo
Leo acha nilewe leo
Hoo leo kulewa leo
Leo mtanibeba leo
[Refrain]
Tukishalewa si walevi tunapendana
Hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
Tukishalewa si walevi tunapendana
Hata tukigombana pombe ikikata tunapatana
[PreChorus]
Leo ni sherehe sherehe
Naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
Natusheherekee
Naacha pombe, nalewa mara ya mwisho sitaki pombe
[Chorus]
Leo ni sherehe sherehe
Naacha pombe, nakunywa mala ya mwisho sitaki pombe
Natusheherekee
Naacha pombe, nalewa mala ya mwisho sitaki pombe
Written by: Nay Wa Mitego