गाने

Pole sijakuposti mwezi huu wa February Nitakuposti mwaka ujao Mpenzi wangu usijali Ila usione kuwa,kuwa iko mbali Wanakula nyanya kitunguu Si twatengeza kachumbari Mapenzi,mapenzi,mapenzi hodari Mapenzi speedy ndogo ndogo hatukimbizi gari Tusijilinganishe nao hawatujui Maua yauzwanga kila siku ila hawanunui Baby nakupenda Januari to December Sio February tu sio February tu Baby nakupenda January to December Sio mwezi moja tu sio mwezi moja tu Kila siku mama sio February tu Kila siku mama sio February tu Kila siku mama sio February tu (A happy wife a happy life) Sio February tu Valentine siku nzuri Ile si ni wa tofauti Na wengine walikopa pesa ili waweze pelekana movie Na sisi tulibaki hapa na najua ilikuuma sana Ulitaka twende date Sorry my baby haikuweza make Kila kitu unataka utaget Tafadhali usikuwe na regret February sio mwezi tu pekee I will love you everyday Baby nakupenda Januari to December Sio February tu sio February tu Baby nakupenda January to December Sio mwezi moja tu sio mwezi moja tu Kila siku mama sio February tu Kila siku mama sio February tu Kila siku mama(oh mama)sio February tu Kila siku mama sio February tu
Writer(s): Edgar Israel Onyach, Ywaya Eugine Simon Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out