म्यूज़िक वीडियो

Wenge
{artistName} द्वारा {trackName} संगीत वीडियो देखें

क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Jay Melody
Performer
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
Spoken Word
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
Producer

गाने

Vile moyo unapwita najionea sana huruma Nakaa chini nalia najiangalia sijitamani Chini na chimba Natafuta mzizi oh Najitafutia dawa Usinga kwa hirizi Najiita mjinga "J" acha utoto Najiona mjinga wenge kimtindo Hata tusiwe wapenzi mama juwa naumia Umeondoa mchuma mama ngazi naachia Leo unaienjoy upendo mi nachezewa hisia Penzi langu mama natamani irudi zamani Ah baby ayayaa Oh baby oh wo wo Inanichoma ayayaa Nakosa amani oh wo wo Ah baby ayayaa Inaniuma oh wo wo Najioneaga tu mabala ayayaa Ah wo wo Oh mapenzi Ah mama oh yeyeaah Ah mama Basi mapenzi majani ila penzi lako gumu kung'oka Huwaga nalia sana nikikumbuka tulipo toka Ningepata mwandani ila penzi lako linanyoosha Usinifanyie mimi hivi juwa vibaya Nitoe kwa ubaya, sweet mapenzi ndo haya Basi unisamehe mwaya mama mapenzi ndo haya Hata tusiwe wapenzi mama juwa naumia Umeondoa mchuma mama ngazi naachia Leo unaienjoy upendo mi nachezewa hisia Penzi langu mama natamani irudi zamani Ah baby ayayaa Oh baby oh wo wo Inanichoma ayayaa Nakosa amani oh wo wo Ah baby ayayaa Inaniuma oh wo wo Najioneaga tu mabala ayayaa Ah wo wo Oh mapenzi Oh mapenzi Oh baby Oooh
Writer(s): Sharif Juma, Sharif Said Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out