album cover
Bata
album cover
Bata 29 सितंबर 2023 को Sony Music Entertainment East Africa द्वारा एल्बम 5 - EP के एक भाग के रूप में रिलीज़ किया गया था
एल्बम5 - EP
Released29 सितंबर 2023
लेबलSony Music Entertainment East Africa
BPM
मधुरता
ध्वनिकता
वेलेंस
डांस करने की क्षमता
ऊर्जा

म्यूज़िक वीडियो

म्यूज़िक वीडियो

गाने

[Verse 1]
Haya maisha joo hakuna part 2
Na ndio maana
Kila siku kwangu kama siku kuu
Napambana
[PreChorus]
Natafuta dooh
Nijikoshe roho
Nijipoze koo
If you know you know
Natafuta dooh
Nijikoshe roho
Nijipoze koo
If you know you know
Ooh kwani
[Chorus]
Tunaishi mara moja acha kujibana
Liwalo liwe, naenjoy bwana
Tunaishi mara moja acha kujibana
Liwalo liwe, naenjoy bwana
[Bridge]
Pombe nakunywa, bata nakula
Kote navuma na ninamuogopa Mungu
Pombe nakunywa bata nakula
Kote navuma na ninamuogopa Mungu
[Verse 2]
Money don't lie, gonga cheers tufurahi
Nishajipata now niacheni nijidai
Mmh, mmh, uh no-no
[Verse 3]
Everyday be day to party, (Uh-huh)
Living life like it's a movie (Uh-huh)
Out all night and in the morning
We hungover, we hungover (Uh-huh)
9 to 5 i work i no sleep (uh-huh)
Steady grind all days of the week (Uh-huh)
I get the green to light up the green
So come over, come over
[PreChorus]
Natafuta dooh
Nijikoshe roho
Nijipoze koo
If you know you know
Natafuta dooh
Nijikoshe roho
Nijipoze koo
If you know you know
Ooh kwani
[Chorus]
Tunaishi mara moja acha kujibana
Liwalo liwe, naenjoy bwana
Tunaishi mara moja acha kujibana
Liwalo liwe, naenjoy bwana
[Outro]
Pombe nakunywa, bata nakula
Kote navuma na ninamuogopa Mungu
Pombe nakunywa bata nakula
Kote navuma na ninamuogopa Mungu
Written by: Abigail Chams, Sweetbert Charles
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...