म्यूज़िक वीडियो

म्यूज़िक वीडियो

क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Dicazzi
Dicazzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Adam Chale
Adam Chale
Songwriter

गाने

Aah Aaah
Tukiziongelea tamaa ka tamaa
Balaa kwa balaa
Duniani ni mitego na mitihani yake jah
Sio easy kuacha dhambi ikikomaa
Imagine mzinzi anakufa guest
Mlevi anakufa bar
Mi ni mdhambi nae dhambika taratibu
Ata labda nikifa nahisi kipo cha kujibu
Naeza kua mfano mbaya kwa wasikivu
Ila kwa wenye uchambuzi mzuri wa mambo wataongeza kitu
Balehe imenipita ka miaka buku (Eeeeh)
Starehe ya tendo umri unaruhusu (Eeeeeh)
Amrii ya sita naivunja nusu
Natumia mkono si unganishi utupu
Naiba sadaka makanisani manabii wenyewe wa uongo na dhambi gani
Nakula ganja nafata imani nimeacha pombe Zote mana Dini imezilaani
Mdhambi nae dhambika taratibu x 3
Mbika taratibu mbika taratibu
Mdhambi nae dhambika taratibu x 3
Mbika taratibu mbika taratibu
Tumezidiana kimo tumezidiana maarifa
Namuomba Mungu Mganga mkuu kwenye hivi vita
Ukiniona kwa Mganga Ndele Sssh
Nyota kurogana binadamu awaishi visa
Uzuri sina dhambi za pilato, dhambi za farao
Zangu ni za kubeti na mamikeka kibao
Ntachomwa na majivu au moto kama wao
Uzito wa hukumu i dont know how
Mi hua namdhulumu alie dhulumu dhuluma naigeuza Karma
Nusu dhambi yangu nusu aliedhulumu kabla
Hukumu nusu moto nusu pepo akuna namna
Ila siwezi fanana na mchawi anaekula nyama
Naiba sadaka makanisani manabii wenyewe wa uongo na dhambi gani
Nakula ganja nafata imani nimeacha pombe Zote mana Dini imezilaani
Mdhambi nae dhambika taratibu x 3
Mbika taratibu mbika taratibu
Written by: Adam Chale
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...