क्रेडिट्स

COMPOSITION & LYRICS
Meltus Method Mujwahuzi
Meltus Method Mujwahuzi
Songwriter

गाने

Uaridi nakuita njoo (njoo)
Kwenye imaya yangu njoo (njoo)
Nina fumbo kubwa ndani ya moyo (moyo)
Nkwita upenye kwenye rohoni (roho..)
Nimewaza nimekumbuka
Maisha yangu mi na wewe
Sina haja ya kuzunguka
Nimekuchagua wewe
Wewe ndiwe chaguo la moyo wangu
Uaridi nakuita njoo
Nimekuchagua wewe uwe wangu
Uaridi nakuita njoo
Kila siku tuna (zunguka)×3
kesi ni moja
Kama wendawazimu kesi isiyo na hoja
Na unajua naku (kumbuka)x3
Siwezi ngoja
Cz i've got a feeling one day
Tutakuwa pamoja
Nimewaza nimekumbuka
Maisha yangu mi na wewe
Sina haja ya kuzunguka
Nimekuchagua wewe
Wewe ndiwe chaguo la moyo wangu
Uaridi nakuita njoo
Nimekuchagua wewe uwe wangu
Uaridi nakuita njoo
Instrumental
Wewe ndiwe chaguo la moyo wangu
Uaridi nakuita njoo
Nimekuchagua wewe uwe wangu
Uaridi nakuita njoo
Written by: Meltus Method Mujwahuzi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...