गाने

Ooh, baby nakupenda (Young Legendary) Kama hujaanza me nishaanza kwenda Ooh, baby nishakuwe, kuwe, wa-wa-wa-wa Oh, yeah, oh Ah, baby, baby Sogea karibu nikunong'oneze sweet You look so fine Ungekuwa nguo ningevaa nipendeze cute Baby, wewe ndio changu kidege Umenikamata sifurukuti Baby, wewe, eh Changu chako, chako changu Unanibana pete tamu yangu Kwani hujui we ndio msiri wangu Unanitembeza kwenye tope Kwa mguu aibu baby Hata wakisema waambie We' ndio kiboko ya mimi I swear unanikosha bibie Mwenzako nimekula yamini Me napenda ukisema (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Eti una enjoy tamu tamu (Nikushike hapa hapa, hapa na hapa) Ah, baby (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Eti ni tamu tamu una enjoy (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Hapa, ha-pa Eh, kiburi hakijengi baby Na wala mapenzi hayaendeshwi kwa hasira Nitaenda wapi baby Kwako milembe unanipa tiba tahira Sijui nikupendeje maana moyo Unaona ushakupenda na ushamaliza Wananiita bwege Marafiki wanadai nakupenda kupitiliza, baby Eti nakudekeza sana Nakuendekeza sana, baby Hata ndugu na jamaa Wanasema umenipa cha undani Changu chako, chako changu Unanibana pete tamu yangu Kwani hujui we ndio msiri wangu Unanitembeza kwenye tope Kwa nguu aibu baby Hata wakisema waambie We' ndio kiboko ya mimi I swear unanikosha bibie Mwenzako nimekula yamini Me napenda ukisema (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Eti una enjoy tamu tamu (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Ah, baby (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Eti ni tamu tamu unaenjoy (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Me napenda ukisema (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Eti una enjoy tamu tamu (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Ah, baby (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Eti ni tamu tamu una enjoy (Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa) Hapa, ha-pa Hapa, hapa na hapa Chinga (The Mix Killer) Konde Music Worldwide
Writer(s): Ibrahim Abdallah Nampunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out