क्रेडिट्स
PERFORMING ARTISTS
Boutross
Performer
AJAY BURUKLYN BOYZ
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boutross Munene
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Boutross Munene
Producer
गाने
[Verse 1]
Hadija ukikam kila saa umevaa dera, unatesa, una
Halima ukikam kila saa umevaa dera unatesa una
Amina ukikam kila saa umevaa dera unatesa una
Fatuma ukikam kila saa umevaa dera una tesa una
[Verse 2]
Kila kila mtu na wake (Ah)
Mwenye hana shauri ni zake
Nishike mkono baby tuende dansi
Acha nikupande pande
Kila kila mtu na wake (Ah)
Mwenye hana shauri ni zake
Nishike mkono baby tuende dansi
Acha nikupande pande
[Verse 3]
Cheki anavrobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
Cheki anabyobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
Cheki anavrobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
Cheki anabyobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
Cheki anavrobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
Cheki anabyobounce hio ass jiggy jiggy jiggyy
[Verse 4]
Boy wa jiji anapenda venye inatema
Dame wa kijiji napenda vile inatetema
Skia hizi wachana na ngoma za Rema
Nabrake hio spine nikaa nataka akuwe kilema
Boy wa jiji anapenda venye inatema (Tema)
Dame wa kijiji napenda vile inatetema (Yeah yeah)
Skia hizi wachana na ngoma za Rema (Yeah yeah eyy cheki)
Nabrake hio spine nikaa nataka akuwe kilema
[Verse 5]
I said break your back hapo midnight alafu morning joh nikupee breakfast (Nikupe breakfast)
Only God hukuanga witness juu mi niki mmm siwezi sema
Nilimtoka vibaya juu ilikuwa instinct na instinct mi imenisave kwa hii business (Kwa hii business)
Some husema mi hukuanga gifted lakini njoti zangu hukuana triplets (Hkua na tets)
[Verse 6]
Nasema pretty girls hukuwa jealous vile si drunk in love hukuanga tender (Hukuanga tender)
Attitude tu ndo hajawahi penda vile niki touch your breasts unakuwa famous (Unakuwa famous)
Mi ni pretty boy yaani pretty na swerve hao mangeus kaa boy wangu na bri bri (Brr brr)
Sometimes situation hukuanga tricky Khadija ukikam we unajua utakuanga fiti
[Chorus]
Hadija ukikam kila saa umevaa dera, unatesa, una
Halima ukikam kila saa umevaa dera unatesa una
Amina ukimam kila saa umevaa dera unatesa una
Fatuma ukikam kila saa umevaa dera una tesa una
[Chorus]
Kila kila mtu na wake (Ah)
Mwenye hana shauri ni zake
Nishike mkono baby tuende dansi
Acha nikupande pande
Kila kila mtu na wake (Ah)
Mwenye hana shauri ni zake
Nishike mkono baby tuende dansi
Acha nikupande pande
Written by: Boutross Munene