क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Tgun Tozzy
Tgun Tozzy
Bongos
COMPOSITION & LYRICS
Tgun Tozzy
Tgun Tozzy
Songwriter

गाने

Aaah
Safari ya maisha ambayo mi nimepitia
Kuna wakati nilizibwa macho nisione njia
Nikatamani hata nipate pa kuanzia
ila watu niliowaamini ndio wa kwanza kunikazia,
Nikapewa lawama na makesi ya kila siku
Nikawa sina maana hata kwa watu wa karibu
Kila nilipo gusa ikawa kama na gundu
hata ndugu
baridi kwangu wakawa vugu vugu
Kuna sauti ikaniambia yupo Mungu piga goti ye kazi yake kutenda kila siku na hachoki
Ukimuomba anasikia mtumaini yeye weka nia ata kubariki pia na wewe
Ubaya binadamu kamwe huwezi kumtambua
Akija kama mwema kumbe mbaya na haujajua
Rafiki unampenda pia na kumthamini mwishoni anakutesa na Moyo wako anaularua
Sasa matumaini yote yangu ni kwa Mungu
Yeye ndio anae jua tabu na hustle zangu
Kufika hapa jamani sio peke yangu
Nimemuachia yeye abakie kua tumaini langu,
CHORUS
Tumaini langu liko kwaaake
Kwakua yeye ndie mwenye mamlaka yooote
Oooho
Tumaini langu liko kwaaake
Kwakua yeye ndie mwenye mamlaka yooote
Namtumaini yeye
(Namtumaini yeye)
Namtumaini yeye
(Namtumaini yeye)
Namtumaini yeye
(Namtumaini yeye)
Namtumaini yeye
(Namtumaini yeye)
Ohooo
Natangaza msamaha kwa wote walio niumiza
Kamwe katu kisasi sito kuja ripiza
maumivu waliyonipa hayajaingia kwenye giza
Nayaona hivyo sasa haiwezi jirudia
Kwangu kosa litabakia moja
(Mojaa)
Kosa halitorudiwa tena
(Ahaaa)
kosa litabakia moja
(Mojaa)
Kosa halitorudiwa tena
kosa litabakia moja
Kosa halitorudiwa tena
kosa litabakia moja
Kosa halitorudiwa tena
Kuna sauti ikaniambia yupo Mungu piga goti ye kazi yake kutenda kila siku na hachoki
Ukimuomba anasikia mtumaini yeye weka nia ata kubariki pia na wewe
Ubaya binadamu kamwe huwezi kumtambua
Akija kama mwema kumbe mbaya na haujajua
Rafiki unampenda pia na kumthamini mwishoni anakutesa na Moyo wako anaularua
Sasa matumaini yote yangu ni kwa Mungu
Yeye ndio anae jua tabu na hustle zangu
Kufika hapa jamani sio peke yangu
Nimemuachia yeye abakie kua tumaini langu,
CHORUS
Tumaini langu liko kwaaake
Kwakua yeye ndie mwenye mamlaka yooote
Oooho
Tumaini langu liko kwaaake
Kwakua yeye ndie mwenye mamlaka yooote
Namtumaini yeye
(Namtumaini yeye)
Namtumaini yeye
(Namtumaini yeye)
Namtumaini yeye
(Namtumaini yeye)
Namtumaini yeye
(Namtumaini yeye)
Ohooo
Written by: Tgun Tozzy
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...