क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Christopher Kioko
Christopher Kioko
Vocals
Emmanuel Mwongela
Emmanuel Mwongela
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Alice Kimanzi
Alice Kimanzi
Songwriter
Fredrick Wang'ombe Wanjira
Fredrick Wang'ombe Wanjira
Songwriter
Mercy Irungu
Mercy Irungu
Songwriter
Christopher Kioko
Christopher Kioko
Songwriter
Emmanuel Mwongela
Emmanuel Mwongela
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Fredrick Wang'ombe Wanjira
Fredrick Wang'ombe Wanjira
Producer

गाने

Shamba la wanyama in the 254
Sitakubali kukaliwa NO!
Tupambana kwenye street let's go
Hapa sihami sihami NO!
VERSE:
Nimekua silent mkadhani ni weakness
Niko ready ku explode na siachi mawitness kaboom!
Skizeni prophet of doom
Kabla nikupige checkmate lemme see your moves
Race ya tortoise na sunguch
Kwa hii exam answer zangu usichunguch
Piga hustle tokwa na jasho jembamba
Na ukicheza buda unaweza kula pamba
Hizi streets hazikubembelezi
Hizi streets hazitambui mtu lazy
Kila kitu ina price ni wewe utadecide
Ukona sisi ama uko on the other side
Nakam, mbogi imeng'am
Hunipati Kwa jam(jam) ju tumejam(jam) tunapaa
Tunarun hii mtaa
Ukileta umang'aa, we'll burn you to the ground (ground)
Don't play with us!
Mtoto amecheza na moto amechomekaaa
Amelilia wembe cheki amejikataa (X2)
It's a Free world
Nani anakuzuia
Hata vikwazo tupilia
Lakini zote utalipia
Mtoto amecheza na moto amechomekaaa
Amelilia wembe cheki amejikataa (X2)
Written by: Alice Kimanzi, Christopher Kioko, Emmanuel Mwongela, Fredrick Wang'ombe Wanjira, Mercy Irungu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...