क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Jaivah
Jaivah
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sebastian Charles Mwinula
Sebastian Charles Mwinula
Songwriter
Cloudy Sa
Cloudy Sa
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Cloudy Sa
Cloudy Sa
Producer
Kapipo Beats
Kapipo Beats
Associate Producer

गाने

Aweeeh...Aweeeh
Huku mapezi huku pesa
Huku mapenzi tungi
Huku mapenzi huku pesa
Huku mapenzi huku tungi
Mi mwenzako,mambo ya mapenzi
Siyawezi..siyawezi
(Mi mwenzako..mambo ya mapenzi
Siyawezi,siyawezi)
Mi mwenzako,mambo ya kupendana
Siyawezi..siyawezi
(Mi mwenzako..mambo ya kupendana
Siyawezi,siyawezi)
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Mambo ya kupendana ndio sitaki
Mambo ya kuachana ndio sitaki
Kupelekana puta ndio sitaki
Kuchezewa na kuachwa ndio sitaki
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Mambo ya kupendana ndio sitaki
Mambo ya kuachana ndio sitaki
Kupelekana puta ndio sitaki
Kuchezewa na kuachwa ndio sitaki
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Nilishaumizwa moyo wangu
Nilishanyang'anywa my wangu
Nilishamwitaga roho yangu
Sasa hivi takataka tu kwangu
Siku hizi naulinda sana moyo wangu
Sitaki kupenda niambulie machungu
Ni kheri nile lager kama mwanangu Babu
Nipate kurelax mi sitaki tabu
Na kama unitamani tu bora uniambia
Ni kheri kudanga kuliko nilie
Mapenzi ya siku hizi kuyalia denge
Tutafute sehemu,mi silazi zege
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Eti wanangu mapenzi na pesa
Bora kutafuta nini
(Bora pesa)
Oya wahuni mapenzi na tungi
Bora kuchagua nini
(Bora tungi)
Oya wanangu mapenzi na pesa
Bora kutafuta nini
(Bora pesa)
Oya wahuni mapenzi na tungi
Bora kuchagua nini
(Bora tungi)
Oya usinisumbue kabla sijalewa
Mbona nikilewa safi tu
(Oya usinisumbue kabla sijalewa
Mbona nikilewa safi tu)
Usinisumbue kabla sijalewa
Mbona nikilewa safi tu
(Oya usinisumbue kabla sijalewa
Mbona nikilewa safi tu)
Wanangu sipendi tena mpaka Palapanda
(Wanangu sipendi tena mpaka palapanda)
Masela wangu mi sipendi tena mpaka
Palapanda
(Masela wangu mi sipendi tena mpaka
Palapanda)
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Mambo ya kupendana ndio sitaki
Mambo ya kuachana ndio sitaki
Kupelekana puta ndio sitaki
Kuchezewa na kuachwa ndio sitaki
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Mambo ya kupendana ndio sitaki
Mambo ya kuachana ndio sitaki
Kupelekana puta ndio sitaki
Kuchezewa na kuachwa ndio sitaki
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Naogopa mapenzi,naogopa mapee
Written by: Sebastian Charles Mwinula
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...