क्रेडिट्स
PERFORMING ARTISTS
Msanii Music Group
Performer
Joash Nyamongo Ongechi
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Joash Nyamongo Ongechi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Joash Nyamongo Ongechi
Producer
गाने
Maisha changamoto siku za leo uchumi kuharibika ni dhahiri sana
Kukosa hela
Unatamani kukata tamaa
Unatamani kushikwa mkono
Ila ukivumilia (vumilia wewe)
Utashinda
Ushindi hupatikana
Kwa walio wavumilivu na imani
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Ila hela na mali nyingi sio changamoto kwa watu wengine
Wapi wanaosongwa na mawazo wakosapo haja za nyoyo zao
Ukiamka chini ya paa na uwe na chakula mezani
Shukuru mungu wako
Muabudu msujudu
Karibisha na jirani
Umuoneshe upendo
Shukuru mungu wako
Muabudu msujudu
Karibisha na jirani
Umuoneshe upendo
Upendo huo utafanya watu wote tubadilishe wimbo
Na leo tube sote…..
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Mungu yu Mwema kwetu
Waonekana kwetu …
Written by: Joash Nyamongo Ongechi