गाने

Barua yako nimekwisha ipata sheri, Nia yako tupendane wawili oo Sikatai lakini kitu kimoja Naogopa ee naogopa Wanaokupenda watanipa taabu Mimi masikini ee naogopa Hali yangu ya unyonge sijiwezi oo ah mama Elewa wazi kama tutapendana oo Mabaya mengi yatanifuata fuata Na mimi wenzio kamwe sijivuni oo Nakuomba ee ufikiri oo ah mama. Ukweli nakupenda lakini naogopa Kwani kukabili wale wako wanaokupenda Kukopa harusi kulipa matanga Kupendana raha takapotupata balaa tuepuke mama
Writer(s): John Ngereza, Issa Juma, Omar Shabani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out