इसी प्रकार के गाने
क्रेडिट्स
PERFORMING ARTISTS
The Cavaliers Band
Performer
COMPOSITION & LYRICS
D. Kabaka
Composer
गाने
Baba na mama waliniusia ewe kijana
Kua mwanangu jionee dunia ina mambo yao sikuyasikiza sasa mimi najuta
Kweli najionea dunia ina mambo,
Walinambia kijana jihadhari n walimwengu hao walimwengu si wazuri kwako kijana yao sikuyasikiza sasa mimi najuta
Kweli najionea dunia ina mambo.
Baba na mama waliniusia ewe kijana kua mwanangu jionee dunia ina mambo
Yao sikuyasikiza sasa mimi najuta
Kweli najionea dunia ina mambo,
Walinambia kijana jihadhari n walimwengu hao walimwengu si wazuri kwako kijana yao sikuyasikiza sasa mimi najuta
Kweli najionea dunia ina mamboooo
Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo
Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo
Ukiwa nacho leo marafiki ni wengi sana watakusifuoo wewe kijana mzuri
Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo
Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo
Ukiwa hunaoo wengi wanakukimbia
Na mengi kusema wewe kijana mbaya dunia ina mambo oooo dunia ina mambo
Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo
Writer(s): D Kabaka
Lyrics powered by www.musixmatch.com