album cover
Hate
album cover
Hate 4 सितंबर 2026 को Black Market Records द्वारा एल्बम Hate - Single के एक भाग के रूप में रिलीज़ किया गया था
एल्बमHate - Single
4 सितंबर 2026
लेबलBlack Market Records
BPM181
मधुरता
ध्वनिकता
वेलेंस
डांस करने की क्षमता
ऊर्जा

म्यूज़िक वीडियो

म्यूज़िक वीडियो

गाने

Waliniita ngombe 
Sai Nina maziwa 
Pombe
nimi na waagizia
Usikonde hawakutuminia
Mambo ishachange wanadai kukaribia
We zidii kuhate
Na pesa tunaget
Unahate na pesa tunaget
Hate na pesa
Woochi dogi hadi Kwa gate
Sijui kaa unaget
Hizi ganji naziget
Kaa ujanicall huwezi fika Hadi Kwa gate
Gari bila plate
Ex wa mtu ndio unadate
Uko na dream ya Bajaj me Niko ya jet
Me ufika early buda sijai late
Msupa kaa ni mali si tunamarinate
Ati umentoa mbali juu umenbuyia belt
Msupa alikataa dry dry na kidogo ashawet
Pongi na ifanya pet
Morio wa manzi ananpek
Daily jo ni birthday vile msupa ni cake
 Vile na itake
tucheze na hii take
Usinijenge 40 nijenge 80
We zidii kuhate
Na pesa tunaget
Unahate na pesa tunaget
Hate na pesa
Woochi dogi hadi Kwa gate
Iphoolish
Niko na doh
Hii ndio kitu we uget
Early warm ata nikifika late
Calendar imejaa hadi sai siezi date
Money talk huniskizi juu urelate
Me ndio reason ngeus ufika home late
Nina dogi mweuu leo naigeuza ikuwe pet
Dorime ni daily goshodo ni beshte ya ex
Before niachane na ex already niko na next
Aah me hupewa deni kushinda hadi mwenye duka
Nachafua meza kushinda hadi mwenye bukla
Ganji ndio inabonga hadi siku hizi sina lugha
Chupa kuchupa hadi zingine natupa
Waliniita ngombe
Sai Nina maziwa
Pombe nimi na waagizia
Usikonde hawakutuminia
Mambo ishachange wanadai kukaribia
    
We zidii kuhate
Na pesa tunaget
Unahate na pesa tunaget
Hate na pesa
Woochi dogi hadi Kwa gate
Written by: Joseph Juma, Mike Makori
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...