म्यूज़िक वीडियो

Elani - Barua Ya Dunia [@elanimuziki] [SKIZA 7630594] SMS to 811
{artistName} द्वारा {trackName} संगीत वीडियो देखें

क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Elani
Elani
Performer
Cedric Kadenye
Cedric Kadenye
Remixer
Bryan Chweya
Bryan Chweya
Remixer
COMPOSITION & LYRICS
Maureen Kunga
Maureen Kunga
Songwriter
Wambui Ngugi
Wambui Ngugi
Songwriter
Kevin Macharia
Kevin Macharia
Songwriter

गाने

Hujambo salam dunia Ni siku nyingi hatujaongea Hizi enzi Mbona huna penzi Nimekuandikia barua Ningeweza ningekupigia Geti kali, inalia Machozi ya sifa Usinilenge, juu siku moja nitakulenga pia Usinicheke, juu siku moja nitakucheka pia Bobea bobea, Bobea bobea Ngojea nitabobea pia Bobea bobea, Bobea bobea Ngojea nitabobea pia Sina mengi ya kusimulia Ila tu ni barua ya dunia Aaaahh... Barua. Mashinani wanalialia Umri ndio huo, Uzee unaingia Sina fedha, hisia wala njia Eh, ya kujitafutia Nikimalizia barua, Geti kali uwe na huruma Mraia analia, Machozi ya simba Usinilenge, juu siku moja nitakulenga pia Usinicheke, juu siku moja nitakucheka pia Bobea bobea, Bobea bobea Ngojea nitabobea pia Bobea bobea, Bobea bobea Ngojea nitabobea pia Sina mengi ya kusimulia... Barua ya dunia... Mbona hukunijalia, Dunia... Oooohhh Usinilenge, juu siku moja nitakulenga pia Usinicheke, juu siku moja nitakucheka pia Bobea bobea, Bobea bobea Ngojea nitabobea pia Bobea bobea, Bobea bobea Ngojea nitabobea pia Sina mengi ya kusimulia Barua ya Dunia, Barua...
Writer(s): Brian Chweta Omwoyo, Maureen Muthoni Kunga, Wambui Ngugi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out