Lirik

Iye Aya owsome This is owesome Whozuu Kwangu mbona ishu ndogo Kuku unfollow wewe Na so lazima nkikujua et ndo nikufollow wewe Kwangu mbona ishu ndogo Kuku unfollow wewe Acha nikuunfollow Na so lazima nkijujua et ndo nikufollow wewe eeh! Bora niku unfollow Follow, unfollow... Follow unfollow Hiiii... Ha! Follow, unfollow... Follow unfollow Follow nkufoolow mi alaf usifollow back asa maana ake nini DP bonge la shape picha unapost udaku kumix mambo ya nini Kutwa unapost bikini video nusu uchi unamuonesha nani Hiiii... Ha! Picha zako znakushinda unapost Picha zangu wewe kwangu kama nani Acha nikuunfollow Unaringia likes unajiona much know Caption china kumbe Nguo za kariakoo (Whozu) Unajikuta we bishoo o o ooh! Kwangu mbona ishu ndogo Kuku unfollow wewe Na so lazima nikujue et ndo nikufollow wewe Kwangu mbona ishu ndogo Kuku unfollow wewe Acha nikuunfollow Na so lazima nikujue et ndo nikufollow wewe eeh! Bora niku unfollow Follow, unfollow... Follow unfollow Hiiii... Ha! Follow, unfollow... Follow unfollow Yani habar haijasambaa we ushapost Kwako breaking news kila post Nakufollow Replies kuziscreenshotii Ushosti ushosti wa kunipost Nakufollow Kwenye breaking shot insta ukitrend nakufollow He he he! Kila time uko live, mtu wa matukio mengi nakufollow He he he! Unaringia likes unajiona much know Caption china kumbe Nguo za kariakoo (Whozu) Unajikuta sister doo oh oh oh Kwangu mbona ishu ndogo Kuku unfollow wewe Hu!! Na so lazima nikujue et ndo nikufollow wewe ha! Kwangu mbona ishu ndogo Kuku unfollow wewe Acha nikuunfollow Na so lazima nikujue et ndo nikufollow wewe eeh! Bora nikuunfollow Nasemaje Follow unfollow Follow unfollow Hiii... Ha! Follow unfollow Follow unfollow Frank knows nakufollow Nakufollow Free nation ee! Nakufollow Nakufollow Follow unfollow hu! Follow unfollow Hiii... Ha! Follow unfollow Follow unfollow! Awsome baddest! Freenation Nakufollow
Writer(s): Whozu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out