Lirik

Hivi kweli yupo Mwenye roho mbaya kukushinda Maana mi sijaona Duniani Hivi kweli yupo Aso na haya kukushinda Maana mie sijaona sijaona We mtu gani uko radhi Mwenzako ateketee Wakati unajua dawa yake Ni kumponya, nihurumie Ama mtu gani aliefika Akaongeza makeke Na wakati anajua Mi kwako ndo napona, we nihurumie Mi najua mapenzi Sio kwichi kwichi tu Yanayonogaga mazoea Nimekuzoea mmmh Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito Unanionea, unanipiga mie Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya Unanionea, lalalaa mmmmh Na kama kuachana nakubali Sawa fanya yako Ila sio lazima unionyeshe uniumize Au kisa unajua Unaniacha bado nakuhitaji Ndo unaona bora unikomeshe Unilize eeeh Ah poa poa, nishajua vya utamu Vinakuwaga vya uchungu Ili doa doa milima haikutani Japo najua mapenzi Sio kwichi kwichi tu Yanayonogaga mazoea Nimekuzoea mmmh Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito Unanionea, unanipiga mie Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya Unanionea, lalalaa Unanionea, unanionea bure Hata Bonga anajua unanionea Chino anajua, unanionea
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out