Lirik

Yeah Unacheki superhero on a mission, yeah Black on black looking like a billionaire Game ninayo mob ingine free nawapea I know it's impossible to really not stare Spend weekend mzima ka simu iko mteja Flow ya kuk'fanya useme Shin' come tena Tom Ford inakuja na breeze unaismell Imemix na shash but you really can't tell Cheki black juu, chini Window nilitint kabla uhamie mjini Ni ngumu uresist chizi fly kaa mimi Before unitrust we niambie itatake nini Sibadiliki Melanin juu chini hakuna bleaching Black is beautiful hiyo ndo teaching Geuza thinking Ni ma-king tu na ma-queen Squad yote mpaka DJ (black) Juu ya kwang ongeza tire (black) Competition naicheki kwa kioo Vako yake pia ni black on (black) Michael Jackson (black) Bank account on (black) Spend my cash on (black) And her ass on (black) Uh, competition na naicheki kwa kioo Vako yake pia ni back on (black) Na ni black Boyz club tumedunga ma ope na nyonginyo Tuko moshi, I swear siwezi tell pali tuko Tuko setere sese, mchezore zeze Run hii shit yani mobuture sese, mmh Switch bank what a champe does Ndani ya ring nima headi Zinedine Zidane Na ata letewa ile kitu minadai ime vai Wakikata maji mi niko divai na gethai Ka there's a will there's a way niggas nje ya ndoa Nshawashuku hawa nyoka sa nikuwa dondoa Nauezi hepa lugha yangu vile na roroa So nipe standing ovation vile na kaa poa Nimedunga black ndani ya G wagon again And black model and her friend Chupa ni black Tags intact kwa swag Nasumbua ka kibeti ya Kyallo Squad yote mpaka DJ (black) Juu ya kwang ongeza tire (black) Competition naicheki kwa kioo Vako yake pia ni black on (black) Michael Jackson (black) Bank account on (black) Spend my cash on (black) And her ass on (black) Uh, competition na naicheki kwa kioo Vako yake pia ni back on (black) Na ni black on (black) I'm the one Number one Superhero Superman You're my lady You're the one Kuja hivo Usiturn I'm the one (I'm the one) Number one (number one) Superhero (black) Superman (Superman) You're my lady (black) You're the one (black) Kuja hivo Usiturn Unacheki superhero on a mission, yeah Black on black looking like a billionaire Game ninayo mingi, ingine free nawapea Si na hao tafadhali usicompare Cheki superhero on a mission, yeah Black on black looking like a billionaire Game ninayo mingi, ingine free nawapea Si na hao tafadhali usicompare Squad yote mpaka DJ (black) Juu ya kwang ongeza tire (black) Competition naicheki kwa kioo Vako yake pia ni black on (black) Michael Jackson (black) Bank account on (black) Spend my cash on (black) And her ass on (black) Uh, competition na naicheki kwa kioo Vako yake pia ni back on (black) Na ni black on (black)
Writer(s): Nyamari Ongegu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out