Lirik

Aiiii, mmm Aiii... Oooh yeaaah Mmmh. Ipo siku na muda silali bado na hustle Kama ipo itakuja ya halali nile kwajasho Ipo siku na muda (eeh) silali bado na hustle Namini itakuja ya halali nile kwajasho Kulala visavihoja Yatapita eeh, yata Mlokutwa maramoja eeh yatapita, Yata Bado tunajikongoja eeh Yatapita eeh, yata Usijiisi umelogwa yatapita yata. Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitoweza Nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza Mara ya tatu marafiki wakanizebeza Mara ya nne hata kabla yakuanza nikateleza Mara ya tano nikafeli wakanibeza Wengi wakanambia siwezi faulu bila ya fedha Mara ya sita nikasita nikasikia sauti Ikiniita kwamba maisha ni vita jeunaweza Mara ya saba mambo yalijiongeza kilaninapo anguka nainuka Najisogeza napopata kidogo Nakiwekeza maisha chuo kikuu wapasakujiendeleza Mara ya nane I'm the man now i Rise up King ndani ya jungle or else keeping ma Head up usikate tamaa (ongeza tu juhudi pambana) Im on top of the world nawewe unaweza Ipo siku na muda silali bado na hustle Kama ipo itakuja ya halali nile kwajasho Ipo siku na muda (eeh) silali bado na hustle Namini itakuja ya halali nile kwajasho Kulala visavihoja Yatapita eeh, yata Mlokutwa maramoja eeh yatapita, Yata Bado tunajikongoja eeh Yatapita eeh, yata Usijiisi umelogwa yatapita yata. Najua unapata tabusana wanakutukana Ifikirie kesho yako achana na jana Najua hata ndugu wadamu wanakukana Haya maisha nivita yapaswa kuyapigana Hujapokea mshahara jikaze bwana usilie Ongeza sana kazi na sala mama nt'ilie Maisha nimapambano halisi sio nguvu ya soda Usisubiri ugeuzwe punda ukabebe powder Nipo pamoja nanyi wanangu wa bodaboda Dua zangu zipo nanyi mama zangu wa mbogamboga Unapitia mengi, ila mambo haya endi I can, i must, i will Kama mengi Fundi garage piga kazi kwa bidii ukiweza kesha Unaweza kua Mangi Mo dewji ama Bahkresa Usikate tamaa (ongeza tu juhudi pambana) Sitting on the top of the world nawewe unaweza Ipo siku(siku) na muda silali bado na hustle (eti mbona Silali) kama ipo itakuja ya halali nile kwajasho(kwajasho) Ipo siku na muda (eeh) silali bado na hustle (asee mbona silali kwan) Namini itakuja ya halali nile kwajasho Kulala visavihoja Yatapita eeh, yata. Mlokutwa maramoja eeh yatapita, Yatapita Bado tunajikongoja eeh Yatapita eeh, yatapita Usijiisi umelogwa yatapita yata. 'U know no one is going to successful and no one is going to be a star Hakuna kinacho shindikana Believe in yourself'
Writer(s): Professor Jay Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out