Dari

PERFORMING ARTISTS
William Fadhili
William Fadhili
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Fadhili William
Fadhili William
Songwriter

Lirik

[Verse 1]
Taxi driver nikomboleshe gari
Niende Nakuru nikamuone Hannah
Aliyeniandikia nifike jumamosi
Name staki kuvunja promisi
[Verse 2]
Niliondoka na yule dereva
Tulipofika kule Naivasha
Gari letu lilipata punturi
Ikawa lazima tutachelewa
[Verse 3]
Nilipofika kule Naikuru
Nilimkuta my baby amekasirika
Nilimwambia sio makosa yangu baby
Gari letu lilipata punturi
[Verse 4]
Hiyo promisi hatari sio nzuri
Kwa sababu gari haliaminiki
Kusema kweli gari si kama mtu
Anayekwenda kwa nguvu za damu
[Verse 5]
Taxi driver nikomboleshe gari
Niende Nakuru nikamuone Hannah
Aliyeniandikia nifike jumamosi
Nami staki kuvunja promisi
Written by: William Fadhili
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...