Ditampilkan Di

Dari

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Composer
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lirik

[Verse 1]
Masikini hana fuba, hana fuba
Anazeeka yule mwezangu
Haamini anavyochunda anachunda
Nimeondoka na nyota yangu
[Verse 2]
Nafsi ilichoka madhira (Ooh madhira)
Ya pundazo na fadhila (Ooh fadhila)
Nimempata wa njema dhamira (Ooh dhamira)
Wa kufunga magoli si wa bila (Ooh wa bila)
[PreChorus]
Mmh shata, shata (Shata), penzi limetaradadi
Sina shaka (Shaka), inyeshe na ipige radi
Rasha rasha (Rasha), kwetu mambo maji maji
Baby washa washa (Washa), waambie wanaosubiria
[Chorus]
Bado nipo, nipo nae
Bado tupo sana tu (Bado nipo, nipo nae)
Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo, nipo nae)
Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo, nipo nae)
Mi bado nipo na yeye
[Verse 3]
Raha, raha mustarehe, sijaomba napewa
Nifikishwe nitosheke, raha
Kila siku sherehe jamani nanyenyekewe
Eti nile nikogeshwe
[Verse 4]
Penzi birika, yake sifai ni kimiminio
Ah nimeshikwa, kwenye kichwa mpaka masikio
Mambo tartita, ulichosusa hakula mwenzio
Mwana ana sifa, ananipa paja kwa kipapatio
[Verse 5]
Amekupenda mama tulia, tulia
Tule zetu ni ujana, dunia dunia
Mambo ya wanadama, puuzia, puuzia
Wapasuke bandama, sindano ishawaingia
[Chorus]
Mmh shata, shata (Shata), penzi limetaradadi
Sina shaka (Shaka), inyeshe na ipige radi
Rasha, rasha (Rasha), kwetu mambo maji, maji
Baby washa, washa (Washa), waambie wanaosubiria
[Chorus]
Bado nipo, nipo nae
Bado tupo sana tu (Bado nipo, nipo nae)
Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo, nipo nae)
Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo, nipo nae)
Mi bado nipo na yeye
Written by: Mbosso
instagramSharePathic_arrow_out