Lirik

Wasafi Records Wasafi Nataka nitoke kwenye gazeti niuze sura Niseme ninatoka na Joketi Kitandani kisha na fedha Kessy ama Snura Nilete matata mpaka kwa Grace Kwenye redio zote mpaka luninga Nitangaze kwakuvimba kwamba Lulu ana yangu mimba Au, niwatukane wote mnaoimba kwa dharau na kuvimba mpaka yule anayejita Simba Niseme madam Rita katetema akiniona anashindwa hata kuhema Au Vanessa kanena ananitaka na Jux atatemwa Nataka nifanye sinema Kwa Rosa na Ray si wema Kiki ipi iko njema au niende kwa Sepetu Wema Ati nitoke je? Mwenzenu nitoke je? Ati nitoke je? Mwenzenu nitoke je? Aah, aah, eeh Nasikia uwoya mkali Wanasemaga shishi asali Wolper atakubali akibwage kihamo chali Ninatafakari kichwani maswali Nimtongoze Zari akijua Mondi si hatari Eeh, Roze ndauka kajala pia hadi na Salama Moze iyobo asije ninunia kwa aunt Lawama Mkubwa Fela Tale Salam leaders Nizushe pesa wame nipiga Chegge na Madii wasije nikwida iyowe Nataka nibadili ratiba kwangu isijeleta msiba nitoke Wasafi niende kwa Kiba (yow) Ati nitoke je? Mwenzenu nitoke je? Ati nitoke je? Mwenzenu nitoke je? Nataka nifanye masekele Sekele ooh sekele Sekele ooh sekele Sekele ooh sekele Yani bongo nzima makelele Sekele ooh sekele Sekele ooh sekele Sekele ooh sekele Hii, nikinukishe kinoma noma Sekele ooh sekele Sekele ooh sekele Sekele ooh sekele Macho kuvimba wataisoma Sekele ooh sekele Sekele ooh sekele Sekele ooh sekele Ayo, Lizer
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Solly Cohen Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out