Video Musik

western jazz band - rosa
Tonton video musik {trackName} dari {artistName}

Ditampilkan Di

Dari

PERFORMING ARTISTS
Western Jazz Band
Western Jazz Band
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Western Jazz Band
Western Jazz Band
Songwriter

Lirik

Mapenzi yetu yamekuwa ni hasara Rosa Mganga aliyekupa dawa ni adui yangu mama Penzi ulilotaka si penzi mwenzangu eeh Dawa aliyokupa ni sumu mwenzangu eeh Hivyo ndivyo ulivyotaka toa roho yangu Nini ulichokosa kutaka kuniua Rosa? Nilikuwa ninakupa mshahara wangu wote Hio haikutosha mpaka wanitesa Rosa Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa Mama (Acha ubaya Rosa). Mapenzi yetu yamekuwa ni hasara Rosa Mganga aliyekupa dawa ni adui yangu mama Penzi ulilotaka si penzi mwenzangu eeh Dawa aliyokupa ni sumu mwenzangu eeh Hivyo ndivyo ulivyotaka toa roho yangu Nini ulichokosa kutaka kuniua Rosa? Nilikuwa ninakupa mshahara wangu wote Hio haikutosha mpaka wanitesa Rosa Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa Mama (he he he) (Ndio ndio ndio ndio...) (Rosa acha kuniua mama Watu wanataka kusikia saboso ya mwaka 73 Kweli kweli kweli Rosa mbaya Wacha uchawi) (Rosaaa) (He he eheee Rosa Maamaa) Mapenzi yetu yamekuwa ni hasara Rosa Mganga aliyekupa dawa ni adui yangu mama Penzi ulilotaka si penzi mwenzangu eeh Dawa aliyokupa ni sumu mwenzangu eeh Hivyo ndivyo ulivyotaka toa roho yangu Nini ulichokosa kutaka kuniua Rosa? Nilikuwa ninakupa mshahara wangu wote Hio haikutosha mpaka wanitesa Rosa Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa Mama
Writer(s): Hicham Khatir Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out