Lirik

Ooh mumunya au tafuna kitu mwororo Yakhe saa sita nampatia supu mkongoro Mama ichuma biryani ya mama choro Guza hadi mkeka sio kila siku godoro Aii wewe nimekwisha Ni mapenzi yamenishika Aii mimi nimekwisha Maumivu hasta la vista Kama kaupara ni upara Saa nasafisha makoto Na ikiwa vita, fujo vurugu Nashikisha mtondo Hizi biashara ndo balaa Baby nishike kwa ungo Kavalia ushanga alafu chain Kavalia kikuku Aii wewe nimekwisha Ni mapenzi yamenishika Aii mimi nimekwisha Maumivu hasta la vista Tangia ya sasa, ooh yeah Utanifanya sasa, ooh yeah Utanipatia sasa, ooh yeah Alhabibi, alhabibi Alhabini, ananipa susi baridi Alhabibi, alhabibi Alhabini, ananipa susi baridi Baridi, baridi Aah anipa susi baridi
Writer(s): Sharif Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out